Recent content by Ajib

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop yangu bei poa

    imeshauzwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Dell inauzwa bei poa

    bado ipo?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Kama tatizo ni Mealy bug viuatilifu kama Septer au POPO WP zina uwezo wa kuwaua. ila pia nashauri utumie kiuatilifu kama vile confidor ambacho kinaua wide range ya insect. Muhimu viuatilifu vyote vipigwe kipindi kisichokuwa na jua kali.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa huu umenimalizia tikiti nifanye nini kuepuka nao

    Huu si ugonjwa wala wadudu ni ukosefu wa Calcium katika tunda kitaalam tunauita BLOSSOM END ROT. Weka mbolea za CAN mara tu maua au matunda yanapoanza kutoka na baada ya hapo hakikisha unakuwa na ratiba maalum ya kumwagilia isiyobadilika badilika hadi wiki moja ya mwisho kabla ya kuvuna uache...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Niuzie radio ya gari

    kiongozi kama unayo serious niuzie kwa hiyo bei
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta ABS Motor control ya gari aina ya NADIA

    Mwenye anayo ABS Motor control ya gari aina ya Nadia anipm tafadhali
  7. A

    JamiiForums Tanzania ABS Motor control ya Nadia

    Wadau nahitaji ABS motor ya Nadia mwenye nayo please anicheck pm
  8. A

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta nyumba ya vyumba 3 vya kulala, choo cha ndani, sebule, jiko, car parking na fence. iwe na umeme wa luku wa kujitegemea na maji. iwe maeneo ya karibu na Mandela road(ubungo riverside, mabibo hostel, external, gereji, tabata etc). Budget yangu 200,000 per month, nalipa kila baada ya miezi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Tsh.200,000 kwa mwezi

    Kwani hata nikiwa mpangaji kuna shida gani kwani kuna mtu atalazimishwa kulipa bila ya kuina ngumba husika?. tatizo bado unaishi kwa babako ndo mana hujui gharama za kupanga. waachie wenye shida we endelea kula jasho la babako
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Tsh.200,000 kwa mwezi

    hapana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Tsh.200,000 kwa mwezi

    jaribu kwingine pls
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Tsh.200,000 kwa mwezi

    Nyumba ipo Ubungo Riverside umbali wa dk 3 kutoka barabara ya Mandela. Ina vyumba 2 , sebule, Veranda na choo cha ndani. Ina uzio Umeme na maji utashare na watu 2. Inahitajika kodi ya miezi 2 kwanza kumalizia mwaka. Hakuna dalali.
Back
Top Bottom