NYUMBA YA VYUMBA VIWILI NA SEBULE PAMOJA NA CHUMBA NA SEBULE ZINAPANGISHWA MAENEO YA SAVEI

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Kuna nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya savei dk 5 toka mliman city. Nyumba moja ina vyumba viwili na sebule choo na sehemu ya kupikia. Kodi 250,000/- kwa mwezi na nyingne ni chumba na sebule jiko na choo chake bei yake ni 170,000/= maji yapo 24/7 gari zinafika had kwako. Hakuna dalali unaliipa bei hyo moja kwa moja kwangu. 0713401812
 
170,000/- chumba na sebule . 250,000/- vyumba viwili sebule
 
Kuna nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya savei dk 5 toka mliman city. Nyumba moja ina vyumba viwili na sebule choo na sehemu ya kupikia. Kodi 250,000/- kwa mwezi na nyingne ni chumba na sebule jiko na choo chake bei yake ni 170,000/= maji yapo 24/7 gari zinafika had kwako. Hakuna dalali unaliipa bei hyo moja kwa moja kwangu. 0713401812
Ina fence? parking je?
 
Uzoefu unaonyesha hiyo Nymba akikaa Mpangaji mwaka mmoja tu anahama, maana kila mara unaitangaza
 
Mkuu nyumba zipo nying syo moja. na huwa situmii madalali sku zote.
 
Uzoefu unaonyesha hiyo Nymba akikaa Mpangaji mwaka mmoja tu anahama, maana kila mara unaitangaza

Hiyo nyumba itakua ina matatizo au mleta mada ni tapeli maana kaitangaza sana yani na haiwezekani nyumba nzuri kwenye eneo zuri iwe inahang hang hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom