Kwanza umeongopa huwezi kuona salio hilo hilo kila wakati maana tarakimu ya mwisho mia tano,eti umeeangalia mara tatu nzima hela isipungue? Kawadanganye wanao
Ukweli lazima usemwe,kwa kitendo kile cha kukodisha bure timu mpaka 2026 sio mchezo jamaa amejipanga kurudisha m100 zake alizotoa mara mbili tatu,akili zao zimelala wanachama wa ndala.
Poleni wahaya,tatizo na wenyewe huwa wanajidai ujuaji sana,maana hata kupata kiwanja cha mwekezaji mtu atakwambia square mt 20 kwa 20 anataka bilioni 5 sasa maendeleo yatakujaje,nilikutana na wasomi wachache wa mkoa huu wanasema hivyo kuwa watu ni wajuaji sana. Wenzao wazaramo waliamua mji wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.