Recent content by Aizn

  1. Aizn

    JamiiForums Tanzania Ufaransa inafaidika nini na Niger mpaka itake kusaidia Ecowas kuvunja mapinduzi?

    Tunachozani kuwa Africa ni yetu kumbe ni ya wazungu
  2. Aizn

    JamiiForums Tanzania Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

    Wanatakiwa waeke na ubingwa wa Epl uwe na play off... wanachukua top four zinaingia kwenye kinyang’anyiro bingwa ndio anachukua kombe
  3. Aizn

    JamiiForums Tanzania Wafundishe watoto wako juu ya kifo

    Inawezekana wafu ndio wao wana uhai na walio hai ni wafu... ni wazi kabsa
  4. Aizn

    JamiiForums Tanzania Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

    Unapokuwa nacho unawasaidia tu -alhamdullillah Unapokosa unawaambia najua wataelewa - alhamdullillah min kul hali Uzuri wa wazazi ni waelewa sanaa tofauti na mtu tu aliyekuwepo mbali na wewe na asiyekufahamu vizur ila ugumu unakujaga kwenye matatizo ya lazima hapo vichwa vinawakaga moto...
  5. Aizn

    JamiiForums Tanzania Wafundishe watoto wako juu ya kifo

    X
  6. Aizn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Keep it up... sista wetu Hizo nyau sinazoitwa shemeji ndio zinanichelewesha kuoa, the way walivyooa sista zangu na zinavyowapelekesha yaani ni kuna vijanaume vya ovyo sanaa siku izi
  7. Aizn

    JamiiForums Tanzania January Makamba anafaa kugombea Urais 2030

    Huyoo unayemfaa ni uraisi wa MANZESE... sorry manzese rais yupo huyo tumpe urais wa BUGURUNI
  8. Aizn

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

    Kwanini? Kafa uongo?
  9. Aizn

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

    Na hapo yenyewe amelewa sema hamjamgundua tu
  10. Aizn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dhambi zipi ukizifanya (ukizoea kuzifanya) unakufa masikini?

    Amri kumi za Mungu
  11. Aizn

    JamiiForums Tanzania Sitasahau ndugu yangu alivyochanganyikiwa na tukakosa tiba hospitali na kutimkia kwa waganga

    Tuletee part ya mwisho Chief 9345
  12. Aizn

    JamiiForums Tanzania Africa ni shujaa aliyelala ambaye anasubiriwa aamshwe na akurupuke afike mbali kimaendeleo

    Kwa Kweli Safari bado ni ndefu ila tunatakiwa tuianze kwanza maana hatuna muelekeo
Back
Top Bottom