Recent content by Aisa

  1. A

    JamiiForums Tanzania ITV na Star TV acheni udini

    Zanzibar ni nchi iliyo kwenye muungano na hizo national broadcasting channels zinalipiwa kodi na wallpapers kodi wa JMT qmbayo sio state ya kiislqmu lakini hujawahi kusikiq mkristo akilalamika content zao....ITV na Star TV ni private cooperation huwezi jua wanaohost hivo vipindi pengine...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama huyu namuwezaje?

    Labda ungekua unaandika lugha iliyonyooka angekua ashakubali....sasa 'kuongeya' ni lugha ya wapi au ipo kamusi ipi?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu tafadhali chunguzeni ratiba za masomo katika Vyuo vya Kati na Juu

    Kuna watu wako makazini wanaongeza visomo vyao na hivyo kuwalazimu kuingia madarasa ya usiku....wakipeleka mapendekezo ya ratiba za darasani wawe na valid reason why muda upunguzwe....suala la usalama sio issue ni watu wazima hao from 18yrs....kwanza wanakesha maclub wanarudi mida mibaya na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    You must be kidding eeh....kwa soko gani la ajira hii nchi ukafundishe watu kwa kiswahili mpaka chuo? Au kiswahili kinazungumzika nchi ngapi labda? Hivi umewaza taaluma kama za udaktati au engineering zikafundishwe kiswahili like seriously? Kiswahili ibaki kuwa native language, kingereza iwekwe...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mashehe waliomtetea Nabii Mkuu Davie wa Arusha wameuomba radhi umma wa Waislam

    Hao wenu ni watoza ushuru sio?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

    Kwani hizo team za Ulaya tunashabikia ni za Africa na hizo dini zao za upagani, uyahudi etc.. tumezifuata? Mpira ni burudani...use your common sense to make sense acha ushabiki maandazi!
Back
Top Bottom