Recent content by Ainekisha

  1. A

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    JF tuombe mungu atuepushe na Chenge kuwa speaker wa bunge letu tukufu.
  2. A

    GE2010 Lipumba kupewa nafasi baraza la Mawaziri?

    hakuna kitu kama hicho hata siku moja .
  3. A

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Jamani wana jf eti Chenge naye anataka kuwa spika wa bunge letu tukufu???? kajipima kaona anweza mtu dhalim kama yule. tuombee wabunge ambao ni wapiga kura wafanye maamuzi sahihi na sio Andrew. jioni njema:thinking:
  4. A

    JK ana kila sababu kubeba lawama kwa jimbo la Nyamagana

    This is very shame haiwezekani kwa jimbo la Nyamagana akaacha majukumu ya msingi kuja mwanza kulazimisha matokeo yatangazwe ndivyo sivyo kwa kutumia rasilimali za watanzania, kuna nini jimbo la nyamagana mpaka kusababisha uvunjifu wa amani ????? wote walikuwa hapa wote JK,Kinana,na Makamba...
  5. A

    GE2010 Zitto ajeruhiwa na Polisi, apelekwa Hospitali

    Pole sana lakini tunahitaji kujua chanzo kwa kina
  6. A

    GE2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    Hivi inakuwaje matokeo ya Kawe hayajatangazwa au ndio wanataka kuchakachua matokeo????:A S angry:
  7. A

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Kibonde **** sana huyo atakuwa mke wa mtu
  8. A

    GE2010 Nyamagana

    Hatimae WENJE atangazwa mshindi jimbo la Nyamagana.
  9. A

    Hellooooooooooo

    Habari wadau? Kwanza hongera wapiga kura wa jimbo la Nyamagana na Ilemela kwa ushindi wa kishindo.
Back
Top Bottom