Recent content by Aine

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa majigambo sasa nipo dar katikati ya mji ndio hivi so bora mabwepande

    ni kivutio cha utalii
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naumia kumuona mtoto wangu

    wewe ulijuaje kama huyo mtoto ni wa kwake ilihali huyo mwanamke ana mume wake? je, una uthibsho kuwa yo mto I wakoa si wa mumehuka? aise ili kuleta amani kaa kimya milele, ila muombe Mungu akusamehe na kukufanya usahahu
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

    sina cha kuongeza hayo yanakutosha kabisaa, chukus hatua
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ni M-Cute jamani si mwaniona mwenyewe nilivyopendeza!

    so beautiful
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwaheri startimes

    ebu watueleze vizuri kuhusu hili, ila naona atleast wanajitahidi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

    Mungu atusaidie
  7. A

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

    haaaa haaa irushe hiyo clip nishawahi kuisikia mahali pls irushe
  8. A

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    nimeenda kny hiyo wensite sijaona kitu
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani kuwa na picha ya mpenzi wako

    wewe umeoa? i feel so good to have him in my phone/wallet
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

    kwanza kosa kubwa unalo wewe mwenyewe, kwani ulishajiwekea masharti hutaki kuoa mwanamke aliye na mtoto sasa ilkuwaje ukaanza kuishi na huyu mama wa watu. Na lengo lako hasa lilikuwa ni nini maana ukishaanza kuishi na mtu jamii inatambua huyo ni mkeo, sasa wewe ulilkuwa unawaza nini? Kwanza...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

    hizi sheria za mtaani kazi kweli aisee
  12. A

    JamiiForums Tanzania Baba Ikitokea UMEFARIKI tukukumbuke kwa lipi? Nimeumia sana

    Mimi naamini ni kweli mtoto wa miaka hiyo anaweza kuuliza swali hilo. Watoto wa siku hizi wanaenda shule wakuwa wadogo sana. Ila huyo inaonyesha ni genius. Tuwatunze vizuri watoto wetu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Lakuchumpa Tanga mjini to Mkinga
  14. A

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Nabii: Mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva kufia Jukwaani kabla ya kumalizika kwa mwaka huu

    ni unabii au utabiri? maana hivi ni vitu viwili tofauti Bwana atusaidie sana
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni Kwa nini wanaume wanaweweseka?

    aisee! ni kwa vile weekend imeanza au?
Back
Top Bottom