Recent content by Aikaotana

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba atahutubia Taifa tarehe 31/05/2015

    tupia wasifu wake tafadhali
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ni upi msimamo viongozi wa CCM na serikali?

    Katika kipindi cha Jukwaa kwa wasiokua na jukwaa kinachorushwa hewani na Radio Kheri saa tatu hivi jana walizungumzia kadhia ya kupigwa risasi sheikh Ponda,Pamoja na mambo mengine walizungumzia utata wa Jeraha la Shk Ponda kwa namna lilivyoripotiwa na vyombo vya habari vya Tanzania na vya nje...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    huwa napata kichefu chefu kusikia watu wanasema eti Makanisa yalikuwa yakisaidia serikali kabla ya MOU, na eti serikali ndo ikadandia huduma za makanisa , amazing! Hivi hawa watu wamekwenda kwenye hizi hospitali? wamepewa huduma wakalinganisha na some other normal pure private hospital? Mimi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

    kukua kwa dini kuu 2 za dunia mwaka 1935 hadi 1985 ukristo 78% growth uislamu 235% growth ni vita gani ya kidini ilitokea katika miaka hiyo 50 iliyosababisha uislamu kukua kwa kasi namna hiyo? Leo hii dini inayokuwa zaidi Ulaya Marekani na Asia ni Uislamu, Ni panga ngapi Sultan wa Oman amegawa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Akhsante, Elimu hii itoshe kwa mtoa mada kama hajali akushukuru na kurudi kufanya TAFITI,ni muandishi mzuri anaweza kuja na bandiko zuri, kwa hili MK umemuathiri bila kujijua
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    HUUJUI UISLAMU, SEMA WAISLAMU WA TANZANIA NDO WANA TATIZO LA KIUONGOZI LILILOLETWA NA BAKWATA AMBAYO NI ZAO LA MFUMO KRISTO! HAKUNA KIONGOZI WA KISIASA NA KIIMANI MAHIRI ALIYEWAHI KUTOKEA KAMA MTUME MUHAMMAD AMBAYE HATA MKRISTO MICHAEL HART KATIKA KITABU CHAKE , 100 MOST INFLUENTIAL PEOPLE...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Kunabaadhi ya hoja tunakubaliana lakini mengi hatupo pamoja MM, Mfumo Kristo-haujaandikwa popote lakini upo: KATAA yafuatayo: · Kataa kwamba hakuna MOU kati ya serikali na wakristo inayoruhusumabilioni ya fedha kuingia kwenye taasisi za kikristo · Kwambamatokeo ya Form 6 (2011)ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    nakusahihisha, HUJUI au sio muislamu, kwa sababu muislamu haogopi kidhaifu namna hiyo Waliopora na kuchoma makanisani hawawezi kuwa waislamu wenye imani thabiti hilo lisikuogopeshe Usijeshangaa wahuni waliopora kanisani wanaweza kuwa hata na majina ya John au Marko, nimateja,wezi na wadokozi wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    naomba Mungu amsaidie huyu mtu kuyatizama mambo katika uhalisia wake, na kalamu aitumie vizuri si amani ya bandia anayoishabikia badala ya kutatua tatizo la jumla na kupata amani ya kudumu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Ieleweke pia unapozungumzia BAKWATA ndio moja ya sura ya MK ambao Mohammed Mtoi anajifanya haujui au haupo!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    [/COLOR] hiyo red ndio ya kwanza NA YA MWISHO Hufahamu maana ya Mfumo Kristo ndo mn unajichanganya, MK umevuruga umoja kwa kuipandikiza BAKWATA isiyotakiwa na kuiua EAMWS ilikuwa inaleta maendeleo, MK unaitambua taasisi 1 tu BAKWATA katika mambo yote yahusuyo waislamu ili kuhakikisha kuwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Omanis of Tanzanian origin may be eligible for dual citizenship

    JENGA PICHA KUWA kauli HIZI JK ANGEZITOA AKIWA ROME, COMMENTS NYINGI ZINGEKUWA hivi well done Kikwete, at least now i can solute u mkuu, Kutokea uanze kuongoza leo ndio umenena! MK in hatari!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Kunabaadhi ya hoja tunakubaliana lakini mengi hatupo pamoja MM, Mfumo Kristo-haujaandikwa popote lakini upo: KATAA yafuatayo: · Kataa kwamba hakuna MOU kati ya serikali na wakristo inayoruhusumabilioni ya fedha kuingia kwenye taasisi za kikristo · Kwambamatokeo ya Form 6 (2011)ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Muhindi aliyesilimishwa!!!!

    bravo nimetabasamu!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Vyumba 6, Jiko, Sebule Kubwa, Store Vyoo vya ndani na nje DAR

    reserved for more negotiations
Back
Top Bottom