Recent content by Aiden paul

  1. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania NATAKA NISOME SHERIA

    Nichuo kipi bora cha mafunzo ya sheriaa
  2. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania Blenda za solar!

    ya zamani ni ipi io
  3. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania Blenda za solar!

    Haya karibu
  4. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania Blenda za solar!

    Jaribu kuwasiliana na mobiso kama upo moshi mjini wapo pale chini kidogo ya idara ya maji opposite na islamic garage
  5. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania Kumbe naweza tengeneza 1M kwa masaa machache tu!

    Habari za mchana wanakubwa zangu leo nimekuja na swali tena, . . . Nimepata wazo lakutengeneza pop corne ya vannila,ni biashara ambayo anaifanya rafiki yangu lakini yeye center huko Town.. . . . . Pia yeye anatumia mashine ya umeme, nikaonelea kwasababu huku street hakuna anaefahamu product hii...
  6. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Msitu wa Solindo

    MSITU WA SORONDO Mtunzi Richard Mwambe Simu 0754740668 1 Chau cafe Chau cafe Amata Ga Imba aliendelea kunywa kahawa yake polepole kana kwamba hana shughuli nyingine ya kufanya kwa siku hiyo, kichwani akiwa na mawazo mengi sana akipanga na kupangua juu ya maisha yake ya sasa na baadae...
  7. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuku wakufuga wakienyeji nipo Moshi

    kama huna msaada wa post husika is bettet ukakaa kimya kabisaa
  8. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuku wakufuga wakienyeji nipo Moshi

    Habarini za asubuhi jamii forum ninahitaji kuku wakienyeji.. Idadi kumi hivi itapendeza.. Mahali napatikana moshi Size ya kati sana sana mitetea Nifahamishe nikufuate leo hii 0622440179 Tsapp no#zangu hizo
  9. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufahamu namna ya kutengeneza pop corne za vanilla na hatua zake zote nipo moshi mjini

    Unajua sisi wajasilia mali tunapokuwa tunaanza biashara tunapishana sana na semina kama hizo nipe msaada wa no za wale wanaotoa hizo semina kaka
  10. Aiden paul

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufahamu namna ya kutengeneza pop corne za vanilla na hatua zake zote nipo moshi mjini

    Sasa ladha ya chakula ndio Ipi maana ndio niko kwenye tafiti bado
Back
Top Bottom