Recent content by AI_GURU

  1. AI_GURU

    Natafuta mke

    Hello there, I'm a 41-year-old man working in the education sector with a Master's degree and currently pursuing a PhD. I have an amazing 11-year-old son. I'm searching for a life partner aged 30-41, preferably with 0-2 kids and a stable income. Let's embark on this beautiful journey together.
  2. AI_GURU

    Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

    ,Huyu jamaa bana, a few flyovers here and there ashajiona indispensable
  3. AI_GURU

    Useless people in Useless Country

    Hili tunalopitia ni somo kubwa sana. Kuwa na Rais ambae hajui historia, uchumi wala siasa. Na hataki kujifunza sababu anajiona mwerevu sana (know it all). Anataka aturudishe kwenye system za Marxism na communism ambazo zimeshafeli na popote pale zinafeli. Communism/socialism only works with...
  4. AI_GURU

    ITV mubashara: Rais Magufuli awasili mkoani Morogoro kwa Gari moshi

    We are tired of seeing this old balding man.. Aren't there other news? Pls give us a break
  5. AI_GURU

    Silaha za Wasaidizi wa Rais zilizofichwa Viunoni mwao kuonekana wazi wazi Ikulu kuna Tija gani?

    Uoga umetamalaki katika hiyo jamhuri. Hadi marais waliopita licha kuwa na immunity wanakana hadi picha zao...
  6. AI_GURU

    Akiitwa mshamba, mnachekelea. Wao wakiitwa wapumbavu, mnanuna

    There is a difference..Yeye ni mshamba kweli. Wale wanajeshi wawili sio wapumbavu. Huge difference
  7. AI_GURU

    Jicho la tatu: Utenguzi huu ni mkakati wa kuua ndege wawili kwa jiwe moja

    Huwezi kumweka Yesu na huyo bwana kwenye sentensi moja. Please!
  8. AI_GURU

    Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video clip yao yavuja

    Kweli mshamba sana. Hivi kina MOSSAD na CIA wangekuwa wanalikisha likisha vitu dunia ingekalika?
  9. AI_GURU

    Tundu Lissu ajeruhiwa tena

    Clickbait article.. . A stupid one
  10. AI_GURU

    Tundu Lissu ajeruhiwa tena

    Mali Mali huko 😂 😂
  11. AI_GURU

    Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba kuhusu Waraka

    Kiranga, Ni mshamba na limbukeni. Halafu nadhani mule kichwani general knowledge ni zero kabisa. Hajui historia,hajui uchumi hajui siasa na hataki kujifunza. Hajui hata basic things tu za kawaida. Nina wasiwasi hata ukimuuliza MalcomX au Martin Luther King ni nani hajui. And worse, think tank...
  12. AI_GURU

    CCM ƴa JPM, Musiba, Lusinde na Musukuma ni salama kwa Watanzania!!?

    Kama rais anahitaji kutetewa na watu aina ya Musiba badala ya yeye ndo awatetee. It speaks volumes about the kind of president we have
  13. AI_GURU

    Lusinde: Kinana na Nape wakamatwe na kuhojiwa kwa kumwita Rais Mshamba

    Huu upumbavu sana. Kwani ukiwa CCM ni lazima umpende au kumuabudu Magufuli? Halafu by the way, yale mambo wameyaongea kwenye faragha,kama kuna mtu kawadukua na kumwaga hadharani ndio mshamba. Kama ni TISS ndo wamefanya hivo, this action speaks more about their incompetence and lack of work...
  14. AI_GURU

    Lusinde: Kinana na Nape wakamatwe na kuhojiwa kwa kumwita Rais Mshamba

    Kabisa aisee..Yani wanamglorify jamaa mpaka wanaboa
Back
Top Bottom