habar zenu wakuu sipo tim yyte ila nivizuri kupiga live band na show yke itakuwa nzuri!! lakn sasa jaribu kupita tht anapofanyia mazoez kwa sasa uone anavyoimba nitofaut kbsa na nyimbo yenyewe minaona iyo siku watu dar live watalala tu nakunauwezekano mkubwa jamaa akaailisha live band kwan...
Ivi watanzania tunakuwa na akili gani? maana nijambo lakuhuzunisha kumpoteza kiongozi wetu nyie mnaanza kumkashifu nakuleta maneno yakijinga, ivi tunachomlaum nikwakipi? angejitokeza mwananchi wa mbinga analalamika kuwa mh komba alikuwa silolote kwao hapo sawa. Ebu fikilia watu wambinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.