Recent content by AHA

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Tatizo mlikremishwa kanisani kuwa Tanzania ni nchi ya kikristu ndio maana mbapaniki na kuona mnanyan'ganywa haki yenu kauli za kibaguzi za kidini zimejaa humu mara anatoka mvaa kobazi anaingia mvaa kobazi dah kweli tulikuwa hatujui mengi
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuomba nyimbo zenye chorus zilizoimbwa na watoto!!

    Gotham city r Kelly na I wish ya r Kelly
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndo tamthilia zangu Bora kwa east africa

    Hivi kuna ile filamu inaitwa love story Tanganyika na unguja Kuna mtu anayo kweli niangalie upya maana ndio ilikuwa filamu yangu ya kwanza ya kiswahili kuiona
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujikumbushie movies zilizotukuza in 80s, 90s & early 2000s

    Best of the best Bridge of the dragon Deadly heros Angels 2 Erasa No where to run ya vandame King of the kick boxer bill blanks Fifty fifty My father is a hero AWOL vandame
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujikumbushie movies zilizotukuza in 80s, 90s & early 2000s

    Nam angels Myhem Commander Ongezea na hizo mkuu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

    Makinikia yanasafirishwa vizuri tu aisee hakuna ambae alizuia zile zilikuwa fix tu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

    Ngoja nikuzindushe kwanza makinikia yanasafirishwa kila week na kampuni ya rostam ndio wamechukua tenda ya kutoa buliyankulu na buzwagi kupeleka TPA
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Maximilian Machumu anatishiwa maisha kutokana na kupinga bandari kuuzwa kwa Waarabu

    Hizi sarakasi mie sizielew mara kupinga bandari kuuzwa kwa muarabu mara mwarabu sio mbaya vipengele vya mkataba virekebishwe Jamani kwani tatizo ni mkataba urekebishwe au mwarabu hatakiwi
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimetoka juzi Kongo, wametupita vitu vingi sana

    Vumbi la congo lipo Katanga vip bosi unahitaji nikuletee ndio nipo folen hapa ya kuingia kasumbalesa natokea kolwezi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nimetoka juzi Kongo, wametupita vitu vingi sana

    Leo ndio nimeamin humu mitandaoni unaweza kumuonea gere mtu ambae unatakiwa kumsaidia akitaka kújua life ya congo atuulize sie madereva wa malori ya kuleta bidhaa huku na kuchukua madini ya congo kuleta bandarin DSM ndio tunaijua congo in and out sio wanadanganyana hapa tunawasaidia wacongo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Dubai na Tanzania kuhalalisha Kambi 88 za Masetla wa Kiarabu nchini Tanzania?

    Watu wanagombania mfumo dah inatisha sana kampuni ambayo ipo nchi nyingi ulaya ije ilete ukoloni Tanzania sema tu ukweli mleta Uzi kuwa una hofu na uislam kupewa nguvu na waarabu na mfumo wenu uliotengenezwa kwa miaka mingi kukosa nguvu hapa kila mtu anatetea maslah yake akitawala raisi mkristu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msimhukumu Rais Samia pasipokuwa na uhakika

    Tatizo kiongozi hujaelewa asietakiwa ni muarabu na sio mkataba na tena hawamtaki muarabu kwa maslah yao na sio ya taifa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Michepuko mungu anawaona...

    Shikamoo mchepuko
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Madereva wana uelewa wa mambo mengi sana?

    Mpaka lilongwe kuna usimba na yanga hahaha
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    Kuna gereza moja lipo iramba linaitwa ushora huyo koboko alishawah kuua sero nzima kasoro jamaa mmoja tu ndio alipona baada ya kumfunika na blanket halafu akamng'atang'ata
Back
Top Bottom