Recent content by agwambo halisi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hili

    Nahitaji kuagiza gari, kwa njia ya mtandao mwenye uzoefu anisaidie kujua yafuatayo; 1.namna ya kuagiza 2.Namna ya kulipa 3. Tax excemption kama ni mtumishi serikalini 4. Gari aina ya Ist 5. Inafika baada ya muda gani
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani!

    Je ni madhara gani anaweza yapata mama mjamzito endapo siku zake za kujifungua zimefika na chupa imeshapasuka na hasikii uchungu ushauri namna ya kumsaidia huyu dada jamani Mzizi mkavu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

    Wameahirisha toka jana, katibu wa bunge alitoa ratiba hadi tar 24/09/2014 kwenye vyombo vya habari.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Shule shule

    Wadau nauliza ni shule zipi za serikali za sekondari zinafundisha masomo ya compyuta na ipo wilaya ipi, kama unaijua maeneo ya kawe, tegeta , mbezi kimara , mwenge naomba tujuzane wadau wa elimu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa simu na compyuta

    Inaandika no network found
  6. A

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa simu na compyuta

    Imei nimeziona zipo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa simu na compyuta

    Re: @ b2l bado kk
  8. A

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa simu na compyuta

    RE: B2L hebu nisaidie IMEI zinahusikaje mbona nimecheck lkn bdo
  9. A

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa simu na compyuta

    Baada ya ku unlock simu ya sumsung imepoteza network naombeni msaada wadau namna ya kurudisha network ya simu ambayo imekuwa lockedby carrier , simu yenyewe nisumsung windows phone nawasilisha
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani wanajukwaa.

    Naomba mwenye kujua shule ya sekondari ya serikali iliyopo maeneo ya wilaya ya kinondoni wanayotoa accomodation, na iwe maeneo ya tegeta, kijitonyama au mbezi ya kimara nijuzeni wadau
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mkopo mkopo mkopo

    Mkuu HUSNINYO vipi kama ni employment loan
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mkopo mkopo mkopo

    Ahsante kwa ushari
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mkopo mkopo mkopo

    Kuchukua mkopo na kuanzisha biashara au kuchukua mkopo na kuanza ujenzi kama una kiwanja tayari kipi bora kianze wadau, karibuni kwa maoni na mawazo huru
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada msaada wakuu

    Mwenyekujua scale za mishahara ya Tume ya vyuo vikuu, kuna ndugu yangu aliomba kazi hapo na sekta binafsi flani hajui aende wapi anauliza maslahi ya koja upande wa sekta binafsi keshajua bado huko kwingine, mwenye kujua anijuze
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau mjamzito wa siku 90

    Ahsante kwa ushauri huu ngoja sasa nimshauri afu ntarudisha majibu mkuu
Back
Top Bottom