Naisoma hii thread mpaka machoz yanatiririka nikiangalia nina ufaulu mzur tu ila naitwa 'kilaza'. Ee m.mungu tusaidie sisi wanao tusiokuwa na watetezi.
mkuu nimekupata vizur. Tusaidien ss wadogo zenu, mm najiuliza hzo d4 ni za kina nan?? mbona ss tulikuwa na ufaulu mzur tu isitoshe hatukujipeleka wenyew bal ni serikal
magu katuchanganyia hbr ss kwenye program yetu hatukupata hzo d4 wala hatukuwa na fo walidahiliwa wanafunz waliokuwa na ufaulu wa daraja la kwanza, la pili na la tatu tu kwenda kusoma hiyo course udom, issue ya st.joseph kaicombain na ya kwetu kuwa tulipata fo wote. Lakin ukwel utaeleweka tu ss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.