Recent content by agprogrammer

  1. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa kazi wa Malawi wateka nafasi za kazi za ndani Tanzania

    Bro nipe connection na shida na mchungi
  2. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

    Hii vipi ina kipengele ?
  3. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    Bwana Elya hongera sana. Nakukubali tokea tukiwa shule hukuwa mtu wa kukubali kufeli pambania hapo hapo.
  4. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

    We Muamini MUNGU wako hakuna mganga au mchawi zaidi yake.
  5. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

    Muamini MUNGU shida ya hao jamaa wivu na uvivu nipo Wilaya ya Kilindi nalima nimeshaanzisha miradi kadhaa kwenye shamba langu figisu zao ni nyingi ila wanashangaa navyokomaa, mpaka kutoboa kikubwa usiwape nafasi wakujue kwani watatumia madhaifu yako.
  6. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu msimu wa bei nzuri ya Vitunguu Maji

    Hii nimeipenda!
  7. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu msimu wa bei nzuri ya Vitunguu Maji

    Mkuu hongera sana upo mkoa gani yaani unapofanyia huo mradi ?
  8. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

    Ndy ila hyo ipo juu nina nilichochimba kwa mkono kina meter 30. Kwa hyo nilijua price ni reasonable nichimbe cha mashine.
  9. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

    Mkuu hiyo price ni hata mikoani Tanga wilaya ya Kilindi?
  10. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop HP inauzwa

    Chief nimeweka hapo HDD 1TB, PROC Corei3 na RAM 4GB
  11. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop HP inauzwa

    Kuwa free unaweza ukachukua chombo hicho
  12. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop HP inauzwa

    Laptop aina ya HP inauzwa ipo kwenye hali nzuri haina tatizo lolote lile. Specs HDD: 1TB PROC: Corei3 RAM:4GB Bei: 800,000/= Maongezi yapo. Ipo Dar Msasani. Kwa anaehitaji anicheki whatsaap kwa namba 0628955929.
  13. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Kimamba imekufa. Kero ya usafiri Kimamba - Dumila na Kero ya TANESCO

    Yeah boss kula sana msuli pale
  14. agprogrammer

    JamiiForums Tanzania Kimamba imekufa. Kero ya usafiri Kimamba - Dumila na Kero ya TANESCO

    Dah mzee tujuane Kizu boys sio
Back
Top Bottom