Naona laana ya Kakobe inaanza rasimi na huyu Karume. Huko ndio kuchafuka kwa lugha. Naona kila mtu sasa ana usemi usioelewana na mwenzake. Mwisho wa yote, haki itokayo kwa Mungu itatawala
Sioni kama serekali hii ina uhalali wa kuendelea kuwepo madaraani. Nashauri kama sisi wenyewe tumeshindwa tuombe msaada wa jamii ya kimataifa ikiwepo the huge
Vyote, Biblia na Quran vinakataza ulaji wa damu. Ni machukizo mbele za Mungu.
Yesu hakula
kitu chochote
kilichokuwa na
damu, wala
hakula damu
yenyewe.
Mwenyezi Mungu
amenukuliwa
akimuagiza Nabii
Musa katika
Taurati,
Kumbukumbu la
Tourati 12: 16,
Lakini msile
damu ya
wanyama hao;
imwageni damu...
Hatuwezi jua sana maana hatuko moyoni mwako ila mara nyingi hata wanaouza kwa sababu gari ina matayizo wanasema ili wanunue......... Kwa ajili ya familia. Mshauriwa kuwa makini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.