Recent content by Agnes Nasania

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    karibu iramba kamanda, tupo pamoja na tutashirikiana kumng'oa mkoloni mweusi. chadema tupo ngangari, hatulali,hatuli hadi kieleweke
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jiografia ya Tanzania si rafiki kwa watanzania wengi iwapo siku moja mambo yatabadilika

    kumbe kuna hatari inakuja, tujuzeni sisi wa kanda ya kati tuje huko mipakani
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msome Zitto Kabwe: Kazi ya mwisho kuifanya kama PAC Chairman

    well done Zitto
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amkingia kifua mkurugenzi fisadi

    Iramba tunajuta kumfahamu Mwigulu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Amkingia kifua mkurugenzi fisadi- (Majibu)

    maneno yako ni ya kujitetea, bora ungenyamaza tu tutachuja wenyewe, sikuamini hata kidogo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Swissleaks: Watanzania 99 wameweka kiasi cha $114m Uswizi

    kumbe tz ni nchi tajiri sana yenye maskini wa kutupa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tumuunge mkono Zitto Kabwe, Seneta Sonko nakukaribisha Tanzania

    hapo asingesema Zitto viongozi wengine wangenyamaza tu, amesema wametulia tu, tunataka vitendo hasa sio maneno wakenya watuheshimu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jamani tanzania yangu.

    ulikua hujui eeee, na sio viongozi tu hadi vibaraka
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kitine: Kuna waziri ameiba fedha za nchi huko nje ametia mfukoni mwake kutafutia urais

    mmmmmh kazi ipo Tanzania, tuitoe tu ccm madarakani na mengine yote yatawezekana, vinginevyo tutaendelea kusema bila utekelezaji, hawasikii hawa ccm.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Mwigulu kuua CHADEMA Iramba

    watu kwa kujipendekeza kwa mwigulu kwa kupewa vijisent balaa, hakuna ofisi iliyofungwa ya cdm iramba ,hata hivyo endeleeni kumuaminisha hivyo Chdm tunasonga mbele.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Mpo sahihi, hata mimi siwezi ku-support viongozi hata kidogo.
  12. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatikisa iramba magharibi leo

    Viongozi wa wilaya na kata wafanya mabadiliko makubwa. Wananchi wajiunga na chadema kwa wingi. Wengine warudisha kadi za mafisadi ccm
  13. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatikisa iramba magharibi leo

    Chadema imetikisa leo kwenye mkutano mkubwa uliofanyika ktk kata ya SHELUI iramba magharibi kijiji cha NSELEMBWE kitongoji cha makiki songambele.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mwarobaini wa CCM hatimaye umepatikana

    Ccm kwisha habari yake. Chadema mpango mzima.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Operation ya Busanda, sasa ni Kwimba - Kijiji kwa Kijiji...

    Kazeni buti makamanda
Back
Top Bottom