Kwamba nizungushie matunda yangu kwenye maduka ya humo humo Kariakoo tu, ama?
Mi sikuona mahali ambapo naeza eka biashara yangu nikakaa nikatulia. Mji wa watu huu kaka
Naomba muongozo jamani
1st of all niwashukuru nyoote mliofunguka maoni yenu, truth of all yanatia hamasa na kidogo mtu unapata mwangaza wa kuthubutu
Nimefikia hatua nimeafiki biashara ya kutembeza mchanganyiko wa matunda yaliyokatwa katwa. Hence, siku ya kesho naingia kulangua matunda yangu although nimeshauriwa...
Ooh! Hayo matunda nayauza hivyo hivyo yakiwa raw, au natakiwa kuyakata kata ili niipate hiyo elfu saba?
Na ni kweli kuwa nitaenda kuipata hiyo faida ya elfu saba?
Inashawishi kufanya
Na nikisema labda hizo plates nikazisambaze stand ama posta, nitapata wateja kweli!!!? Maake niliwahi kufanya hii biashara mwaka jana, lakini ndani ya siku tatu tu nilikata tamaa kutokana na wateja kuwa wachache
Sijui biashara yangu ilitupiwa mapepo!!🤔
Kingine kinachoniwazisha, nitafanya nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.