Recent content by Aggy Da prince

  1. Aggy Da prince

    Asali

    Tangazo Tangazo anaehitaji asali nzuri kutoka mikoani anifate in box kwa Maelezo zaidi napatikana Dar es salaam nauza bei ya jumla na rejareja asanten piá kalibuni Sana
  2. Aggy Da prince

    Asali

    Tangazo tangazo anaehitaji asali nzuri anifate in box kwa Maelezo zaid jinsi ya kupata mzigo Wa asali, ahsanten pia kalibuni sana
  3. Aggy Da prince

    St.Joseph college of health science(boko campus) tujuzane mambo mbalimbali

    Msaada jamani kwa anejua chuo hiki cha afya kipo boko dsm je kina hostel na hospital pale? Naomben pie Na joining instruction mwenye nayo nitumie asanten
  4. Aggy Da prince

    NACTE wamemwandikia hivi binti yangu, maana yake nini amekoswa selection?

    Je? Mtu anweza lipia tena mpesa au tigo pesa kwaajiri ya application fee? Au itatumika ileile meseji ya mwanzo alotumia kuomba vyuo? Au atalipia pesa Tena nyingne naombeni kujibiwa ahsante
  5. Aggy Da prince

    NACTE wamemwandikia hivi binti yangu, maana yake nini amekoswa selection?

    Kwani kunamajina yatatolewa kama second selection au watafungua udahili watu waanze mwanzo kuomba tena vyuo?
  6. Aggy Da prince

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Kesho kutwa tu vumilia so mbali tr 14 Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  7. Aggy Da prince

    NACTE tarehe 14 naomba msinisahau katika ufalme wenu

    Chuo gn kinatoa degree ya community health na kwa upande wa ajira inakuwaje Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Aggy Da prince

    Natafuta mchumba

    Ni pm Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Aggy Da prince

    NACTE tarehe 14 naomba msinisahau katika ufalme wenu

    Naombeni kuuliza et anaechukua kozi ya community health akimaliza anaweza kuendelea na kozi gn ya afya? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Aggy Da prince

    St.Joseph college of health science(boko campus) tujuzane mambo mbalimbali

    Samahani wana jf kuna ndugu yangu yuko jkt lkn kanambia nimuangalizie kama kachaguliwa st john lkn sijajua niingilie wapi ili niweze pata njia rahisi ya kuona majina ya waliochaguliwa asanten sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Aggy Da prince

    Batch ya Pili ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Diploma katika Chuo cha Maji

    Naomba unitumie tovuti yao pamoja na jinsi ya kuomba mkopo katika chuo chao ngazi ya diploma masomo yangu Bios B chemistry C, phy B, math E, kisw E hist C English D cv D, geo D je nikozi gani ni nzri kusoma ktk ajira naombeni mnisaidie plz Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Aggy Da prince

    Naomba ushauri wa course gani naweza kumpeleka mdogo wangu kwa matokeo haya

    Unaweza kuapply mtandaoni au mpka chuoni kabisa? Na je? Wanatoa mkopo kwa aliemaliza kidato cha nne? Na nikozi gani walizonazo pia kwa ufaulu huu bios B, chemistry C, phy B math E, English D, kisw E, hist D, civ C,Geo D mtu anaweza soma kozi gn hapo??? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Aggy Da prince

    FAHAMU: Vyuo vya Afya vyenye ushindani ktk ku'Appply ili baadae usije kuilaumu NACTE usipochaguliwa

    Vp matokeo haya bios B, chemistry C, physcs B English D, math E Kati ya muhimbili, lugalo, mirembe, kibaha mtu anaweza kuchaguliwa diploma ya nursing? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom