Recent content by Aggiegra

  1. A

    JamiiForums Tanzania credit officer at BARODA Bank

    PENA UNITED ya kweli hayo? kuna mtu ameniambia kwa credit officer gross ni 1.2m ila ndo hivyo wanakuataiti sana. sasa ninataka nipate picha halisi. am black but i dont have any problem working with different races though i know it really challenging. but am confident that through challenges i...
  2. A

    JamiiForums Tanzania credit officer at BARODA Bank

    asante kwa kunitia moyo.Mungu akubariki
  3. A

    JamiiForums Tanzania credit officer at BARODA Bank

    asante ladyfocus, naomba uniambie wananyanyasa kivipi? gross salary inaweza kuwa ngapi?
  4. A

    JamiiForums Tanzania credit officer at BARODA Bank

    hello, kwa wale wenye ufahamu kuhusu hii bank naomba mnisaidie, nataka kufahamu salary na mazingiza ya kazi ya hii bank. sijawahi fanya kazi na wahindi so itakuwa experience mpya. mwenye ufahamu anijuze tafadhali. kwa sasa ninafanya kazi hiyo hiyo sehemu fulani sasa nataka nilinganishe. asanteni.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wa miaka minne (4) hapendi chakula zaidi ya chai na mikate

    kawaida tu hiyo hata sie tuna kajamaa ka five years yy hata akiwa amelala anaota analilia mkate na chai.. sioni kama ni tatizo.
  6. A

    JamiiForums Tanzania teeth scaling

    habari za asubuhi.. naomba mwenye kujua gharama za kuweka jino sawa ni shiling ngapi na wapi naeza pata huduma hiyo anisaidie.. asanteni.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

    gharama za teeth allignment zaweza kuwa bei gani? naomba msaada kuna jino halijakaa sawa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania kuomba msaada toka kwa mpenzi.

    Suprise dear, naonaje sooo.. anyway will meet him this evening let me see kama nitaweza kubreak the news...
  9. A

    JamiiForums Tanzania kuomba msaada toka kwa mpenzi.

    Chauro yaani ni wito.
  10. A

    JamiiForums Tanzania kuomba msaada toka kwa mpenzi.

    thank u Caroline Danzi. ngoja nikaze roho nione.
  11. A

    JamiiForums Tanzania kuomba msaada toka kwa mpenzi.

    Daniel asnte kwa ushauri wako.
  12. A

    JamiiForums Tanzania kuomba msaada toka kwa mpenzi.

    hahaaaa.. umetisha baba asante sana kwa maneno mazuri
  13. A

    JamiiForums Tanzania kuomba msaada toka kwa mpenzi.

    kweli jf ni zaidi ya shule.. thx lara 1 ngoja nifanyie kazi ushauri wako..
  14. A

    JamiiForums Tanzania kuomba msaada toka kwa mpenzi.

    thx dia.. sijawahi
  15. A

    JamiiForums Tanzania kuomba msaada toka kwa mpenzi.

    mzabzab mtata wewe! inaliwaje?
Back
Top Bottom