Recent content by Agema Ubungo

  1. A

    CUF sasa wawapigia magoti CHADEMA

    Mmhhh! Huu ushirikiano ni wa mashaka sana, maana hawa CUF hawaeleweki vizuri, muda flani kama kweli muda kama sio!!!
  2. A

    Police arusha wajipongeza kwa mauaji

    Kuna muda mwingine kuvumilia bila kuonyesha ubaya wa jambo hili si vyema, lazima kitu kifanyike ili wajifunze kwani wewe ukimwaga mboga mwenzako atamwaga ugali. POLISI WAMEANZA SASA NI KAZI YETU SISI RAIA KUONYESHA KUWA HAIKUWA SAWA KUUWA RAIA WASIO NA HATIA, INATUPASA KULIPA KISASI SASA...
  3. A

    UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA

    nilikuwa nafikiri Nape walau ana nafuu ya kufikiri kidogo katika vijana wa CCM, kumbe nilifikiri kinyume kabisa! Nakusikitikia sana Nape unakoelekea
  4. A

    GE2010 Ieleweke wazi siichukii CCM wala Kikwete, nachukia matendo yao wao nawapenda sana

    Tupo pamoja umenena kweli, asante kwa kufikiri vema
Back
Top Bottom