Recent content by agape1234

  1. A

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Hata shetani alifika ngaz za juu sana mbinguni lakin alikuja kuwa msaliti. Kwa hiyo we kuwah kufka ngazi ya juu si ajabu sana
  2. A

    Jenga Nyumba yako kwa Gharama Nafuu

    Mbona ramani nyingine umedowload kwenye mtandao?
  3. A

    Viwanja vilivyopimwa Visiga-Kibaha

    Mbona maneno ni mengi sana kuliko maelekezo mpaka tunaona kama tunataka kupigwa bwana. Kama una viwanja unauza eleza viko wap umbali gani kutoka barabara kuu vina ukubwa gan na ni tsh ngap. Sasa ndug yangu una maneno mengi mno kuliko maelekezo. Au nyie ni wapigaji mnataka kupiga watu?
  4. A

    Kiwanja kinauzwa mapinga bagamoyo

    Nan kakuambia kuna ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo inaendelea? Kama unauz kiwanja chako usiingize uongo ndugu.
  5. A

    YAHUSU: Wale waishio Nnje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ambao ni watanzania

    Ndugu yangu wazo lako ni zuri sana tena sana. Lakin kwa dilunia sasa mtu kumwamini mtu mpaka umtumie pesa ni ngumu. Mtu akitaka kukupiga anaweza kutafuta tu nyumba na akapigia watu. Mi ushauri wangu kwako ni ungefungua kampun ya ujenzi na ukawa na document zote zinazohitajika yan ukatengeneza...
  6. A

    Kutana na wachoraji ramani nguli kutoka chuo kikuu cha Ardhi, kwa majengo, miradi mikubwa na midogo

    Mimi binafsi nimependa sana ulivyosema kuwa haudonload nyumba kwenye mitandao bali mnachora ramani. Make tumeshatapeliwa sana na watu. Kama ramani mnachora wenyewe basi nitakuwa mmojawapo wa wateja wenu wa kwanza mwaka huu wa 2018.
  7. A

    Waziri wa Mambo ya Nje, Dr. Mahiga mnasubiri nini kumtimua Balozi wa Marekani?

    Wew masopakyindi yaekekea upeo wako ni mdogo sana. Unafikiri vitu kirahisirahisi sana. Ni muhm kabla ya kusema serekali yako imfukuze baloz wa marekan ujiulize je Tramp yupo sahihi au sio sahihii.
  8. A

    Mji wa Bukoba wakumbwa na msongamano wa watu kuliko kawaida

    Mbona hizo picha zimepigwa masokon, msitafute umarufu kwa nguvu umarufu huja wenyewe. Kama ni kweli twende ubungo tuangalie wanaokosa usafiri wa kwenda bukoba ni wangap? Achen ushamba wahaya.
  9. A

    Mbunge Agnes Marwa(CCM) amtaka John Heche kuacha kuzungumzia maswala ya nje ya Mkoa wake

    Huyu mama anafanya bunge lionekane ni kitu cha hovyo kweli. Anaibusha hata wabunge wa ccm.
  10. A

    Kitendo cha Kanisa kufungisha ndoa ya Joti huku akiwa amenyoa mtindo wa kihuni ni sahihi?

    KWA MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA KANISANI NI MAHALI PATAKATIFU KULIKO SEMU ZOTE NA NDIO MANA WATU WOTE TUNAPAHESHIMU. NA TUINGIAPO KANISANI TUNAJUA TUMEINGIA MAHALI AKAAPO MUNGU MTAKATIFU. SASA KAMA KANISA KATOLIKI WAMESHAFIKA HUKU HADI KURUHUSU VIDUKU MADHABAHUNI BASI HAPO INABIDI TUTAFAKARI...
  11. A

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Nina kiwanja kipo boko basiaya chasimba. Mt.20×20. Beo ml. 18 maongez yapo. Kiwanja ni changu mwenyewe mi sio dalali na kina mawe ila hat bado.
  12. A

    Mtihani mkubwa kwa Rais Magufuli ni huu hapa

    Mkuu Rais ataweaza hayo yote kama akikubali kubadili katiba ya nchi. Bila katiba hakuna kitachoweza kufanyika. Atamaliza muda wake na tutabakia kusema sisi watanzania nia nan aliyetuloga? Kama kweli Rais ana nia ya dhat ya kuwakomboa watanzania basi abadili katiba haraka sana.
  13. A

    Pata ushauri kuhusiana na masuala ujenzi, uchoraji ramani,ukadiriaji vifaa na wataalam kutoka chuo cha Ardhi:

    Naitaji kuchorewa ramani ya kiwanja changu kipo tabata segerea pamoja na kupimiwa.
Back
Top Bottom