Recent content by Afrolink-Tz Consult Ltd

  1. Afrolink-Tz Consult Ltd

    7 natural laws of business

    Ni sahihi haya uliyoyaandika! Lkn si rahisi kwa mtu wa kawaida kuelewa kwa sababu ni mambo ya ndani sana kwa kila mfanyabiashara aliefanikiwa na mara nyingi hubaki siri. Ndiyo maana wafanyabiashara wengi waliofanikiwa (wenyeviti wa makampuni makubwa, ceo na hata binafsi) hawawezi kukueleza namna...
  2. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

    Nzuri kwa matembezi ya pamoja na familia
  3. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

    Habari zenu Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya) Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo...
  4. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Car4Sale Toyota Harrirer inauzwa Tsh. Milion 22

    NDo maana kuna kipengele pale cha maongezi yapo. Karibu
  5. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Car4Sale Toyota Harrirer inauzwa Tsh. Milion 22

    MODERATORS Naomba mfanye marekebisho ya kichwa cha habari sio mil 222 bali sahihi ni mil 22
  6. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Car4Sale Toyota Harrirer inauzwa Tsh. Milion 22

    Habari zenu Nauza Toyota Harrier yenye maelezo haya: 1. Jina: Toyota Harrier 2. Modeli na: MCU30 3. Aina ya bodi: Station wagon 4. Uwezo wa injini: 2490cc 5. Mwaka wa kuundwa: 2003 6. Rangi: Nyeupe ya kufififia 7. Saizi ya rims: 20' ya aluminiam na matairi yamefungwa mapya mwezi Disemba, 2023...
  7. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Nauza fenicha za ofisini zilizotumika 800,000 maongezi yapo

    Habari za leo! Ninauza fenicha za ofisini zilizotumika zipo katika hali nzuri sana: 1. Meza kubwa moja (imported) 2. Kiti kimoja cha ngozi cha kuzunguka 3. Viti viwili vya wageni (nimenunua mwezi Januari,2024) Fenicha zote hizi nauza kwa pamoja kama zilivyo sh 800,000 maongezi yapo Zinapatikana...
  8. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Nauza Air condition aina Samsung btu 9000

    TAARIFA: AC IMESHAUZWA Habari zenu Nauza ac inafaa kwa chumba size sq 14 hv maana imefungwa bado haijafunguliwa inafanya kazi. Ni kuja kuwasha kuhakiki na kama una fundi wk mnaifungua na kuondoka nayo Ni ac ndogo btu 9000, nilikuwa naitumia mwenyewe hadi sasa ila nahama ofisi yenye ukubwa...
  9. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Naomba ushauri juu ya injini 1KD ya Land cruiser Prado 120

    Habari zenu, Naomba ushauri juu ya injini ya gari tajwa hapo juu 1KD ya gari aina ya Toyota Land cruiser prado (120) nahitaji kununua. Sina uzoefu na gari zinazotumia diesel. Hivyo naomba mwongozo juu ya uimara wake, changamoto zake. Suala la mafuta kutumia sn au laa sio ishu kwa sababu...
  10. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Naomba Ushauri wa Namna ya Kuanzisha Taasisi Binafsi ya Upelelezi Nchini Tanzania

    Brela wanasajili Isipokuwa kunakuwa na viambatanishi vinavyohusu jambo lako kama ni maalum Rejea mchango wangu juu #57 Afrolink-Tz Consult Ltd
  11. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Naomba Ushauri wa Namna ya Kuanzisha Taasisi Binafsi ya Upelelezi Nchini Tanzania

    Wazo lako ni zuri japo inaonekana kwa members wengi kuona kama haiwezekani. Ila binafsi naona hili linawezekana kama utafuata taratibu zifuatazo ambazo hazitofautiani sana na usajili wa kampuni binafsi za ulinzi A: USAJILI- BRELA Hapa utafuata taratibu zote za awali za usajili wa kampuni ambapo...
  12. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Makala: Taratibu za kufunga kampuni ya biashara Tanzania

    Habari za leo! Napenda leo tuangazie makala hii juu ya taratibu za kufunga kampuni ya biashara hata kama imekuwa katika shughuli za kibiashara kwa miaka mingi Wafanyabiasha wengi hupenda kufanya biashara kwa mafanikio makubwa katika muundo wa mtu binafsi au washirika au kampuni yenye ukomo...
  13. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Kufungua kampuni ya udalali

    Ndiyo Mkuu lkn katika huduma
Back
Top Bottom