Recent content by Afrika Furaha

  1. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    Pia fahamu kwamba njia za Mungu (nakushauri uwe unaanza na herufi kubwa kila unapoandika jina la Muumba wako) hazina cha kuwa great thinker wala thin thinker, sisi sote ni mali yake. Hata babu nae ni mali ya Bwana. Mbele za Mungu hakuna anaefanana nae kwa kufikiri wala kumkaribia. Uwe great...
  2. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    Ni lazima ushangazwe na sisi maana hata rekodi yako ya kutunga thread haifanani hata kidogo na utakatifu unaohubiria na unaotaka babu afanye. Ulituletea thread yenye mbinu za utongozaji tena kwa mwanaume na mwanamke, leo hii useme unafahamu vizuri maandiko na utakatifu wake...
  3. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    Nikiangalia hizo comment za blue na nyekundu natamani hata kulia. Hivi kweli kutoa msaada kwa wajane na yatima ni kuchezea neema ya Mungu??? Judith, ulisoma sawasawa ulichokiandika?????? Kuchangia kanisa ni kuchezea neema ya Mungu???? Na ukiangalia hata huo mchanganuo uliouweka inaonyesha yeye...
  4. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wapendwa

    Ngoja nisome alama za nyakati
  5. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania My dear friends, please read this

    :cheer2:
  6. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania Njia 8 za jinsi ya kuepuka migogoro makazini.

    Gud msg
  7. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania Kwako mpenzi . . . .

    Daah! Nimekosa mtu wa kuniita SWEET humu ndani, wewe ndo wa kwanza. Ngoja nikuandikie kweli . . . maana umenipa hamasa tayari
  8. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania SIMBA NA YANGA FINAL SIMBA BINGWA kwa goli 3

    Hawa Simba wakifungwa utasikia "Kaseja hayupo, kilikuwa kikosi B, subilini ligi ianze" Subilini mcheze Alaji Alaji
  9. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania Kwako mpenzi . . . .

    Dia Miss Judy mi nakupenda sana Judy, si unakumbuka tulivyocheza kombolela. Si ulikuwa unasikia raha?? Kule ktk michongoma anakujaga John andunje, atatuonea donge njoo kwetu basi, unajifanya unakuja kwa best wako Jeni. Halafu jeni ataitwa na mama, si tunaingia bafuni. Sema basi, shosti hajui...
  10. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania unamuombaje Penzi mwenzio

    Daah . . . mshikaji, we mmasai nini?
  11. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania SIMBA NA YANGA FINAL SIMBA BINGWA kwa goli 3

    Umesahau ngao ya Hisani
  12. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mapinduzi Cup, Yanga 2-1 Mtibwa
  13. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Jamani, tuzo ya kwanza ya kuonganisha Uefa na Fifa imeenda kwa Messi. Lakin je, ni kweli Messi alistahili tuzo hii kwa kazi za mwaka 2010?? Kama kweli World Cup ina uzito mkubwa ktk tuzo, Xavi, Iniesta na Sneijder walikuwa ndo right candidates. Ukiunganisha na ngazi ya club, hakuna kama Sneijder.
  14. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania Tuzo za FIFA 2010: Messi mchezaji, Mourinho kocha bora

    Nakubaliana na wewe 100 kwa mia. Sneijder alistahili tuzo hii. Alipata mafanikio makubwa ngazi zote, club na timu ya taifa. Ajabu hata top 3 hayumo. Messi hakumfikia Sneijder kwa ngazi ya club wala taifa
  15. Afrika Furaha

    JamiiForums Tanzania Kwako mpenzi . . . .

    mi namtaka Miss Jud
Back
Top Bottom