Wadau Hizi Kazii za Magereza naonaa Wamesemaa Wanahitaji watuu Wa afya Diplomaa ,,Je Magereza Wana Hospital zao ??Inakuaje hapo Wakurugwa mnisaidie Ni kama Polisi na hospital zao
Huu Muongozoo(Program) ya Kujitolea ambao meutoa Kwa wataalum wa afya Utekelezaji Wake Utakuwa Lini ?
Au Mtatoa Tangazoo la Watu Waendee Kujitoleaa au Utapelekeka Barua za Maombi katika Hospitali &Kituo Husika ambacho Ungependa Kujitolea Hapo ,Wizara ya afya au .Baadhi Ya Hospital zitatangaza...
Huu Muongozoo Wa Kujitolea Utekelezaji Wake Utakuwa Lini Unakuwa Lini au Watatoaa Tangazoo la Watu Waendee Kujitoleaa au Utapelekeka Barua za Maombi katika Sehemu Husikaa ambayo Ungependa Kujitolea hapo Inakuaje Wadau hapo msaada wakuu
Mbonii Wamebadilisha Linki Tenaa wadau wakatii wengi tunatafutaa Kazii inaandikaa ime sha Expire Imebadilishwa tumenii basis hiyoo link na Sisi tuweze kupataa na Kama Kuna CO graduates (Wahitimu tuambiane ) ili Tuweze kupeana Connection kama kunaa group lipo telegram
Rais Anafunguaa Milangoo ya Demokrasia wewe anatakaa kurudisha mahusiano mazuri na nchi jiranii ,,Maana ukiangaliaa nchi kama Rwanda inatutegemea sana katika sector ya usafirishaji kwa Upande Wa Bandari kwa hiyo pakiwepo mahusiano mazurii wataendelea kutumia Mandarin yetu Dar es salaam ilaa kama...
Ni Kweli Kabisaa Taaluma Siyoo za Kuhangaikaa ilaa kwa sasa Kunaa clinical officer wengii sana vyuoni na wengii wanaipenda Sana hii fanii na ndio imepelekea Hataa Kwenye Soko LA Ajiraa kuwa gumu tofautii nazamanii
Hapana Usiseme hivyoo mkuu sasa hivii hataa kupataa sehemu za Kujitoleaa ni connection hazipatikanii kizembe na siyoo sehemu zote wanaruhusu watu kujitolea mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.