Jibi ni wao hujenga kuta mbili kitaalam mjengo huo huitwa CAVITY WALLS
na katikati ya zile kuta huwekwa waya ambao hauonekani unaitwa Tie. Umbo lake kama tai ya shingo
Sawa kabisa ila jamaa walijitajodi kuchez a sana..BADO NATHAM8MI MCHANGO WA MAJEMBE YALE.
Ila haya mambo ya ndumba haya siku moja kulikuwa na me hi ya simba na Yanga ilifanyika Dodoma,
Mi sikwenda uwanjani lwasababu watoto wa mtaani tuliitwa kwa Mzee mmoja Kibamba huyu mzee aliuchezesha mpira...
Hakika mkuu. Mi sinta sahau siku SIMBA ilipocheza na STELLAR ABIDJAN.
Nakum uja nilikuwa Darasa la 7 kikosi kilikamilika tulipo fungwa lile bao nilizimia mkuu hadi kulazwa
Mojamed Mwameja
Malota SOMA
Deo Njohole
Idd Pazi
Hamis aka Bwalya
Mtwa Kheelo
Musa Kihwelo
Jamhuri Kihwelo
Lillah Shomari
Zamoyoni Mogela
Raphael Paul ( RP)
George Massatu ( mtu na nusu)
Hussein Masha
Edward Chumila
Mchunga Bakari
Method Mogela
Deo njohole
Victor Mkanwa
Hata miaka sikumbuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.