Recent content by Afri-Cast

  1. Afri-Cast

    Barabara za lami zikijengwa wilaya ya Hai ni sawa ila zikijengwa Geita ni matumizi mabaya ya kodi!

    Alafu nimeona watu wengi wanaokwenda Bukoba, Muleba hawatumii sana Bukoba Airport baada ya ile ajali ya Precision. Chato Airport imeanza kuwa msaada, Pia Geita town to chato ni rahisi sana kuliko kutokea Mwanza airport kivuko kile ni shida, Miji ya Buseresere na Runzewe etc inasaidiwa sana na...
  2. Afri-Cast

    TANESCO leo mmenikera

    Shukran mkuu
  3. Afri-Cast

    TANESCO leo mmenikera

    Jana Usiku umeme umeisha usiku wa manane, nikaingia kununua chap Tigopesa nikawa naambiwa transaction failed, nikaenda simbanking, ikagoma! Sasa nna mtoto mdogo kukiwa giza zito anasumbua sana sana, ikabidi nipige simu call center yao, Nikaambiwa kuna kodi ya 120,000 natakiwa kulipia kwa...
  4. Afri-Cast

    Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni

    Hapo ni Floor ya pili pale Holiday Hotel! Vyumba safi kwa 20k Mbeya maisha poa sana
  5. Afri-Cast

    Car4Sale Nauza Nissan Patrol GR 25M

    Sold[emoji736]
  6. Afri-Cast

    Russia aachiwe aichukue Ukrane, ni salama zaidi

    Tatizo katika hili ni kwamba Russia akiona anapigiwa kwao atajua tu kuna mtu anamsapoti Ukraine kwa silaha kali, so atakachokifanya ni kumpiga huyo adui aliyejificha nyuma ya Ukraine, na ndo Vita kubwa itakapoinuka
  7. Afri-Cast

    Russia aachiwe aichukue Ukrane, ni salama zaidi

    Ni Jukwaa huru tu mkuu, Nimeandika kwa upeo wangu. Muhimu kuelimishana, mimi sio war analysit wala political scientist.
  8. Afri-Cast

    Russia aachiwe aichukue Ukrane, ni salama zaidi

    International Impact ya Kagera War ni tofauti kabisa na Ukraine. Vita ya Ukraine ni mataifa makubwa yanapambana katika ardhi ya taifa jingine dogo! Wanaoumia ni Ukraine, that’s the message I’m delivering.
  9. Afri-Cast

    Russia aachiwe aichukue Ukrane, ni salama zaidi

    Habari ya Jumapili wanajanvi Nimekuwa nafuatilia sana mapigano ya Urusi na Ukraine Kadri Mataifa makubwa yanavyoisaidia Ukraine kivita, ndivyo itakavyochukua muda mrefu zaidi kwa Russia kuchukua miji mikubwa ya Ukraine, hii inamaanisha damu zaidi inaendelea kumwagika, na uharibifu zaidi...
  10. Afri-Cast

    Tabora to Kigoma via Urambo, Barabara ikoje?

    Waliniambia niwe makini tu saa tano usiku watu wanapungua njiani so niwe nimemaliza kipande hicho
  11. Afri-Cast

    Tabora to Kigoma via Urambo, Barabara ikoje?

    C180 benz old model kabisa, cc 1790. Haina tofauti na gari zingine ndogo, so Hata vitz inafika ila utachoka sana.
  12. Afri-Cast

    Tabora to Kigoma via Urambo, Barabara ikoje?

    Mkuu niliangalia kilometer nikaona nyingi sana, Nilikuwa nimechoka mno! Nikauliza bodaboda hii njia imechongwa wakasema ni kama lami, nikauliza siwezi Kutekwa? Wakacheka sana wakasema usalama 100% kuna vijiji nikapiga moyo konde nikapita hiyo njia 1hr niko Kasulu. Ila wakati wa kurudi nilipita...
  13. Afri-Cast

    Tabora to Kigoma via Urambo, Barabara ikoje?

    Mrejesho: Nilitoka Dar saa tisa na nusu alfajiri, kufika manyoni nikala kushoto pale kuelekea Tabora (Njia safi kabisa about 250kms pamenyooka hakuna hata traffic wengi, ila hakikisha umeshaweka mafuta Manyoni maana sheli hakuna mpka mbele sana) Nilifika Kaliua saa 17:00 jioni, Sikuona sababu...
  14. Afri-Cast

    Tabora to Kigoma via Urambo, Barabara ikoje?

    Ntarudi hapa hapa mkuu kwa mrejesho
  15. Afri-Cast

    Tabora to Kigoma via Urambo, Barabara ikoje?

    Asanteni sana wakuu! Nimeamua ntapita njia ya Urambo Kaliuwa to Uvinza! Nimependa ushirikiano wenu
Back
Top Bottom