Recent content by Afisa Tabibu

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    Ni vema ukapita Hospital muone nini shida na kama mnaweza kutibiwa na mkapata mtoto
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

    Inategema na eneo mkuu, ila ni kati ya laki 5 hadi 7
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

    Jibu la tatizo lako ni Battery za RITA, chukua N100 hutojuta, hizo battery zina balaa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani watu wanalifanya sana lakini wewe huwezi?

    Wewe ni kibonge?
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

    Kwamba sheria unaijua wew peke yako? CAS kwa kesi ipi?? Simba walitishia kufanya kosa na itabaki hivyo, Swali rahisi ni kanuni hiyo ipo au haipo? Lini wamefuata hiyo kanuni na lini hawajafuata hiyo kanuni halina mantiki.
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

    Simba hana kosa kt hili, kutishia kutocheza sio kutocheza, inaweza kutishia na bado wakacheza, so kosa la simba halikukamilika 100%. Wanaweza kusema vyovyote na wakajitoa kwenye kosa hili.. bodi ya ligi ndo ibebe mzigo huu wote.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusiana na kitu chochote na JF member mwenye ufahamu atakupa jibu sahihi

    Kwasababu maneno ya kisayansi mengi yana asili ya Kilatini, na neno Potassium limetokana na neno 'Potash' la kiingereza, mwanasayansi Josh Jakob Berzlius alipokuja ba modern system if chemical symbol akatafsiri kutoka kiingereza kwenda kilatin, ndo hiyo element kwa kilatin ikaitwa 'Kalium' hence...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

    Kama tayari una familia na huna vyote, anza kwanza kujenga, kama huna familia na hutegemewi yaan huna ndugu na jamaa wa kukutembelea mara kwa mara, nunua gari kwanza.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

    Heshima gani hiyo inaongezeka ukiwa na gari? Tatizo unadhan kuna mtu anakuzingatia kwenye Dunia hii, kaka Dunia ilipofikia hasa watu wa mjini hawana time kabisa na maisha ya mtu, ukishuka na gari popote vile unavyojiona sivyo watu wanavyokuona, Dunia imechange sana nowdays, usifanye mambo eti...
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhusu Elie Mpanzu kucheza mechi za Ligi ya Shirikisho

    Zile medali mnazotupigia kelele kila siku ni za kombe gani? Uto bhana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hizi ni kona kali na milima, kwa barabara nchini, taja nyingine

    Kilimasera hiyo, hatari
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

    Ni op ya kawaida, kwa umahiri wa Madaktari wa Hiyo fani Hapa nchini wakiongozwa na Mwenyezi Mungu mwambie shemeji aandae tu supu ukitoka theatre uikute maana utatoka Salama salmini. Kila la heri
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ‘Acha kazi nitakutunza’ imeliza wengi

    Stori za vijiwe vya kahawa hizo, kuna mwanaume ambaye anataka mke asiyefanya kazi karne hii!!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kumiliki simu ya ndoto yako kwa bei nafuu? Usiache kupitia huu uzi

    Redmi note 13 pro 5g, inaendaje boss?
Back
Top Bottom