Recent content by Afande Kirusi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya connection yanatutesa vijana.

    Seem nyingi bila conection hutoboi, mwaka huu kunakaz zilitangazwa mahali nilikua lile eneo, watu wakatuma maombi weee, kumbe hata kabla ya deadline interview ikafanyika kimya kimya hapo ndo nilichoka, yaani lile tangazo lilikua bosheni tu, pata picha interview imefanyika kimya kimya kabla hata...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Leo nimepata bahati ya kula jimama zuri wandugu

    bob kumbe unapajua , hua wanalanda landa pub ad mida ya saa 6 ndo wanaanza kuhamia carnival,kunamalaya wakila aina pale + watoto wa mzumbe na MUST
  3. A

    JamiiForums Tanzania Leo nimepata bahati ya kula jimama zuri wandugu

    Aisee huyo dada namjua, hua anaenda mbea carnival saa 6 , ni kahaba flani iv mwenye ndinga
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kila mmoja adondoshe hapa matokeo ya jumla ya necta form six 2013 ya shule aliyo soma

    Uo mwaka ulikua wa kibabe, T.O alianza na 1 ya 5, tz nzima physics ilianza C, tabora boys palikua na one 9
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tusiendelee kupiga kelele kuhusu Chatto!

    swali la nyongeza mkuu, uwanja mkubwa wa mpira chato unaoukalibia benjamini mkapa, utasaidiaje kuongeza pato la taifa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimezaa mtoto wa nje mmoja, napata wakati mgumu kuoa mwanamke mwingine atakayempenda mtoto wangu

    Kipind nipo nae hakua kaolewa, ameolewa hana muda mwingi mkuu, l
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimezaa mtoto wa nje mmoja, napata wakati mgumu kuoa mwanamke mwingine atakayempenda mtoto wangu

    Asante kwa ushauri mzuri, ubarikiwe, wanawake wenye moyo kama wako ndo changamoto, kipindi cha uchumba hawana tatizo, mziki akiingia ndani mambo yanabadilika
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimezaa mtoto wa nje mmoja, napata wakati mgumu kuoa mwanamke mwingine atakayempenda mtoto wangu

    Mama yake kaolewa mkuu, ndomana najaribu kusolve vitu viwili kwa mpigo.moja ndoa hili lazima, pili mbali na ndoa lazima kuwe na amani ndani ya nyumba, changamoto ni wakumpata uyo atakekuja kusimamia amani ya nyumba ili maisha yaende vizuri
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimezaa mtoto wa nje mmoja, napata wakati mgumu kuoa mwanamke mwingine atakayempenda mtoto wangu

    Moja ya mawazo yangu, jaribu kurekibisha panapostahili
Back
Top Bottom