Recent content by Afage

  1. A

    Barua ya wazi kwa Waziri TAMISEMI

    Pole na majukumu Ndugu Waziri, nina machache ya kukushauri juu ya suala la ajira za walimu; Rejea enzi za Ummy Mwalimu, alichukua wahitimu wa 2012, 2013, 2014, na 2015 akapeleka wote primary hakukuwa na shida. ~ Chukua wahitimu wote wa 2015 peleka primary ili upunguze kelele.
  2. A

    Waziri Bashungwa alipotoshwa au aliona orodha kabla ya kutangaza?

    Mheshimiwa raise pole na majukumu na hongera kwa kuupiga mwingi Kuna changamoto kwenye timu yako ambayo lazima ufanye mabadiriko ya lazima. Waziri wa tamisemi bashungwa hawezi nafasi uliyompa ni kubwa mno. Kuna kilio mtaani juu ya ajira za walimu zilizotoka hii sitaki kulizungumzia Kuna...
  3. A

    TAMISEMI imetuhadaa! Vigezo ilivyotangaza na mkeka ulivyo ni tofauti

    Hivi pale bungeni wale wabunge hawakuona Yale majina? Maana kama kweli ni wawakilishi was wananchi wao hawakuona mazingaombwe ya ajira hizi Ila kiukweli huyu waziri imetokea nimemchukia Santa kwanza majina yamekaa miezi miwili yeye Yuko busy na mambo ya mpira
  4. A

    TAMISEMI kwanini mliwahangaisha ndugu zetu kuomba ajira

    Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma? Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu? Bashungwa vijana wanakuchukia sana
  5. A

    TAMISEMI mfumo umeruhusu wasio walimu kuomba ajira

    Bahati mbaya unahis wote wanaoongelea pombe ni walevi 😆😆😆😆😆
  6. A

    TAMISEMI mfumo umeruhusu wasio walimu kuomba ajira

    Kwenu watendaji wa Tamisemi. Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
  7. A

    Mchunguzeni huyu kwanini anaharibu maisha ya watu. Rais ikikupendeza unaweza ukamhamisha hapo TAMISEMI

    Huyu jamaa hata ajira bado kuna shida wanaachwa wahitimu wa nyuma wanachukuliwa wa mwaka Jana masomo hayohayo
  8. A

    Waziri wa Elimu na TAMISEMI kwa nini mnawatenga walimu wa Computer Studies?

    Ni kweli ila kwa nini sasa watoe ajira basi zisiwepo kwa wote ili kila mtu ajiajili
  9. A

    Waziri wa Elimu na TAMISEMI kwa nini mnawatenga walimu wa Computer Studies?

    Ndugu wanna jamvi kuna changamoto inatokea kwa baadhi ya walimu kutokupewa vipaumbele kabsa. Kuna vijana wamehitimu udom 2015 wakiwa wamesoma computer studies na masomo ya sanaa ila wamebaguliwa kila ajira. Serikali inatoa kipaumbele kwa Chinese language unaacha computer studies? Je, mbona...
  10. A

    TAMISEMI, boresheni mfumo wa maombi ya ajira

    Bora kipindi cha ummy mwalimu ila huyuu
  11. A

    TAMISEMI, boresheni mfumo wa maombi ya ajira

    Hakuna kitu itafanya tamisemi hi kikawa sawa jiandaeni pindi majina yakitoka
  12. A

    TAMISEMI kwanini mnatangaza ajira kabla ya kuweka sawa mfumo wa kutuma maombi?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuvunja moyo hivi 1. Inakuwaje mnaachia tangazo la kuomba ajira na mfumo wenu haujakaa sawa? 2. Je mnajua kuwa kuna watu wamesafiri kutoka vijijini kuna mjini kufanya maombi kwa kukopa tu nauli? 3. Kabla hamjaruhusu tangazo hamkufanya tathimin ya mfumo kabla? 4. IT...
  13. A

    Kuhusu ajira za ualimu

    Kama alipata credit za kuwa na diploma yeye aombe
  14. A

    Ubadhirifu watajwa kushuka kitaaluma Shule za CCM

    Hivi wanaosoma hizi shule ni watoto wa wanachama wa ccm au mtu yeyoye
  15. A

    Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Kisa umesoma ukiwa mzee ndo unataka uangaliwe? Hivi unajisikiaje kukaa miaka Saba mtaani kama wenzako wa 2015. Wewe tulia kama huna connection utazionea macho
Back
Top Bottom