Recent content by Aejune48

  1. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu adai Chadema itatumia shari kupata Reforms. Je, Watanzania Mtaungana na Mtu mwenye Passport ya Nchi Nyingine kuvuruga amani yenu?

    kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo. utakufa na uoga wako
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto nayopitia ya mzunguko wangu wa kipesa. Nafanya kazi za ufundi ila kupata kazi imekua nikazi

    Inabidi ubadilishe mfumo, kwanzia sasa kupiga hesabu pia ni kazi, usipige hesabu bure.. angalau mtu akilipia gharama za hesabu ata asipokupa mchongo mzima, usibaki na lawama
  3. A

    JamiiForums Tanzania Why has she un-blocked me? (Kwanini ameni unblock?)

    Una shida wewe. Jitafakari upya
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kuoa

    Imani pekee inatosha kukufanya uwe na familia. Ukiona unaweweseka mpaka kuomba ushauri huku, tambua huna imani na hutoiweza hiyo ndoa. Kaa kwa kutulia siku ukiwa na imani utaoa bila kuuliza
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kuoa

    Matatizo ya jf ni yaleyale.... Ushaambiwa usioe, hutaki kusikia. Haya pambana, wazee wenyewe walishindwa unaleta mchezo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kumove on

    Linapokuja swala la haki sawa, hapo ndo ushetani wenyewe unaanza na kufanya ndoa ziwe upuuzi flani, Fahari wawili hawakai zizi moja mkuu, acha mihemko na utafari kwa utulivu. Ikiwa ni haki sawa basi nawaunga mkono wazee wa kataa ndoa, hakuna haki sawa kwenye ndoa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kumbuka hili kuhusu mwanamke uliyenaye akipoteza hisia na wewe

    Mapenzi ni bangi tu kama madawa ya kulevya mengine, ukishakuwa teja huna akili tayari ata kwa bakora.. cha msingi epuka kupenda utakuwa mwanaume shujaa, tuishi nao ila tusijifanye tunapenda sana, maana mwisho wa mapenzi haujawahi kuwa wenye furaha
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

    Unataka uwe bize na kazi gani hiyo mwana matengenezo
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

    Wewe jamaa akili zako kweny mapenzi ni ndogo sana. Kheri umepatwa na hilo ujifunze na uwe na utambuzi kuhusu mapenzi. Vinginevyo ungekuja kuuza nyumba ya urithi kisa mke wa mtu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania TRA Tanga ni majasusi

    Wenye mamlaka ya kufanya uchunguzi ndo walewale pesa mbele na wenye kufata maelekezo ata kabla ya uchunguzi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aingia Sebule ya wapinzani huku wenye nyumba wakipigwa na butwaa

    Vijana wenye akili CCM
Back
Top Bottom