Recent content by adzo 1

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Kwanza nakupongeza mana inaonekana una high self esteem, chamsingi komaa hizo semister zilizobaki japo hujasema upo mwaka wa ngapi na semister gani
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Pengo: Kanisa Katoliki kutokubatiza watoto wa nje ya ndoa hauwatendei haki kiimani

    Kama mtu huna uhakika na kitu ni bora usipost au kuandika chochote tu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Magufuli, ningemrudisha balozi wa Msumbiji nyumbani

    Tuache vyombo vinavyohisika vifanye kazi yake jamani
  4. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Atakuwa Anapew ulinzi mana yule ni mtu Mkubwa sana apa nchini, Kwa hio hakuna shaka Kwa hilo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini TCU wamefunga system ya udahili wanafunzi mapema?

    cku nne zimeisha ukiona hivo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

    kweli kabisa hata mimi nakubaliana na wewe
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kurudia kidato cha tatu

    Serikalini huna sifa tena dogo, jitahidi tu jisajili kama pc
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu App ya thl

    lazima uwe na mb, huwezi tumia ukiwa offline
  9. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya chuo ni mazuri kwa kupanga au kuishi hostel?

    nenda kaishi hostel ndio kuzuri
  10. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako afuta posho za kusahisha mitihani ya Mock na NECTA

    Mbona hio habari haina chanzo cha kuaminika? anaejua source ya taarifa hio aweke apo ili tumaini, lkn pia ni necta ipi form iv au form II?
  11. A

    JamiiForums Tanzania UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

    hivi tunapozungumzia ubora wa chuo ni vigezo gani huwa vinazingatiwa,?
  12. A

    JamiiForums Tanzania UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

    vyuo vyote tz vinalinganna Kwa ubora coz malecturers ni wale wale wanazunguka karibia vyuo vyote, we call them flying lecturers, kwa mana mana hio wanatoa elimu sawa Kwa wote kama watakua fair
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa PSPA na mengine kwa UDSM

    pspa tena duuu Acha kabisa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako afuta posho za kusahisha mitihani ya Mock na NECTA

    hivi ni ya kweli hio kitu jamani
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile NACTE wamefanya selection

    Ni ya kweli hayo mkuu
Back
Top Bottom