Recent content by advocate91

  1. advocate91

    KERO Vyoo vya IFM ni vichafu sana, vinahatarisha afya za watumiaji

    Hali ya vyoo vya IFM inahatarisha kwanza kumekuwa hakuna maji na usafi sio wa mara kwa mara vyoo ni vichafu sana. Uongozi wa chuo tunaomba mliangalie hili ili kuepuka mlipuko wa magonjwa chuoni.
  2. advocate91

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sure brother, kama huku Local Government Halmashauri TGS Scale E1 ni gross salary ya 1,000,000/- kabla ya makato.
  3. advocate91

    Business

    South African Game supermarket exits East Africa Market
  4. advocate91

    Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

    Mc Mafia hii series hutoi jicho nakwambia
Back
Top Bottom