Recent content by Adverse Effect

  1. Adverse Effect

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yathibitisha kisa cha kwanza cha Mgonjwa wa Ebola – Mgonjwa Mkenya amefariki.

    Noma kubwa sana hiyo
  2. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli wowote kwamba "Mechi" za mara kwa mara ndio siri ya amani kwenye ndoa/mahusiano?

    Jibu ni ndio siongezi wala kupunguza na hakuna sababu ya maoni, umemaliza tayari.
  3. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Nyie maCCM mkisikia kuwashwa washwa mnatafuta dodoki la Chadema kulikalia mjikune. Hakika Chadema inawakuna na kuwasugua vilivyo.
  4. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako wa miaka 10-13 anapokuwa na access na simu fulltime basi kwa 65% inakuwa rahisi kwa yeye kuhamasika kuwa mzinzi

    Duuh neno "wanaofirika" sijui ni kitenzi, kisifa au kivumishi ? Kiswahili kigumu sana.
  5. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania dental formula yako inavutia? Leo nimeambiwa nina dental formula nzuri

    Safi sana, weka picha tuone lips zako na ulimi kabisa.
  6. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Kama wapo kwenye social media na wanazo picha zao chagua picha peleka fine art kwa wachoraji artist iweke kwenye fremu nzuri uwapelekee zawadi gharama yake inaweza isizidi laki Moja halafu uje ulete mrejesho.
  7. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Tufikirie mfano tukiwa tunasafiri katika safari tofauti. Safari ya kwanza unayo ramani ya sehemu unapokwenda na pia unayo unatumia Dira/compass ambayo inakuongoza. Safari ya pili unayo ramani lakini hauna Dira inayokuongoza. Safari ya tatu hauna ramani lakini unayo Dira inayokuongoza...
  8. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aiambia mahakama yuko tayari kufa kwa kupigania haki na demokrasia

    Hippocrates ni father wa medicine. Mendel ni father katika genetics. Tundu Antipas Lissu ni father wa Law. Je, kwanini tusibadili jina la Tanzania na kuwa TALISSU ( WATALISSU)? LISSUNIA( WALISSUNIA) ? TANLISSU( WATANLISSU)? Je, kwanini tusiliondoe neno 'Sheria' na kulibadili na kuwa...
  9. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Kama tuweza kununua V8 na kupata posho za mikutano, kwanini tusijibane tukawekeza kwa vijana kwa ajili ya taifa letu?

    Nimewaza kama we we pia hilo. Hiyo ni Drama kama drama ambazo wamezoea kuhadaa watanzania bila Kutambua kuwa watanzania wameamka. Picha iliyopo napata picha kwamba makamu yupo hapo kama picha.
  10. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msiingize kwenye mtego wa Machinga na CCM

    Machinga na maCCm ni sawa na waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba. Ushauri wako uzingatiwe ila wakiupuuza wasiseme hawakuambiwa.
  11. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Mfano mdogo tafakari na tafakuri kuhusu maisha ya wadudu kama nyuki, nzi, sisiminzi , vipepeo na wengineo. Ulishajiuliza hao viumbe ufahamu wao au upeo wao upoje hadi wanaweza ku adapt na kuishi katika mazingira yao? Wanawezaje ku interact katika mazingira yao? Nishati ipo ilikuwepo na...
  12. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Ngoja nikupe mfano, ukiwa Dar ukitaka kwenda Songea unaweza ukapita njia ya morogoro, iringa au ukapita njia ya kusini kupitia Lindi na Mtwara na ukafika Songea. Zote ni njia na zitakufikisha. Choice ni ya kwako ila kikubwa ni Kutambua njia ya kukufikisha katika masafa unayotaka au destination...
  13. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Practice yangu imetoka kwenye mkusanyiko mwingi na mkubwa wa vipande vipande kutoka sehemu mbalimbali ambavyo napaswa kuvi unganisha na kufikia neutrality ( katikati) au emptiness( utupu) au tasteless ( isiyo na ladha) I stay grounded by inner standing that I m absolutely nothing and live in...
  14. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Nakushukuru sana kwa kujazia minofu Gunner11 kuhusu Spiritual practice ndio mkuu.
Back
Top Bottom