Recent content by advance

  1. A

    Lwakatare mgonjwa, alazwa Bukoba Mjini

    Pole sana Kamanda.
  2. A

    Zitto Kabwe, alikuwa Mkurugenzi wa TADIP kabla ya kuondoka CHADEMA

    Ninavyojua anaetoa nchi ni mwananchi kwa kupiga kura,kwa kuwa nchi ni mali ya wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama.Sasa hayo mamlaka ya ccm kukataa yanatoka wapi?Chungeni maneno yenu,hata yule mzee alitamka hivihivi,ati tutakabidhi vingine lakini sio ikulu,Jamani maneno yanaumba!MIMI...
  3. A

    Lowassa: Hongera Mufti Abubakar Zuberi

    Ni upuuzi kuchombeza upuuzi!
  4. A

    Lowassa hasafishiki

    Mleta mada na wachangia mada mliomsapoti ni vema mkaacha ushabiki,kana kwamba mnaishi sayari ingine.Hivi kipi kikubwa na cha ajabu kumshambulia mtu ikiwa nukuu iliyowekwa hapa iko wazi,NANUKUU Kamati teule ya bunge, katika uchunguzi wake wa kashfa hii, pamoja na kutaja wahusika wote na kutaka...
  5. A

    Lissu amepata wapi ujasiri wa kumshambulia Dr. Slaa na familia yake?

    Ukitaka kuzuia safari yoyote ile,ni vema ukawahi kabla safari hiyo haijaanza.Ukichelewa gari safari imeshakolea ni vigumu kuizuia,vinginevyo ikilazimishwa kinachofuata ni ajali na hatari.MUNGU atuepushie mbali,AMINA!
  6. A

    CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    Mabadilikooooooooooooooooooooooooooooo< lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
  7. A

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mabadilikooooooooooooooo!
  8. A

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hapana ndugu,malumbano hayasaidii,kuna mengi ya kuwafanyia watanzania.MUNGU ibariki Tanzania,tujalie amani ya kutosha,na utuvushe salama ktk kipindi hiki kigumu.
  9. A

    CCM ni chama chenye nguvu Tanzania

    Ndoto za mchana hizo,ccm haiwezi kuwa zaidi ya tawala kubwa za kidunia ambazo ziliangushwa moja baada ya nyingine mfano,Babeli,Umedi na Uajemi,Uyunani n.k Pasipo kuwa na mfumo wa chama dola,ccm ni wepesi kama pamba.Ndio maana tunashuhudia nguvu kubwa ya vyombo vya dola inavyotumika kama sehemu...
  10. A

    Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

    kimtokacho mtu,ndicho kilichoujaza moyo wake.
  11. A

    Dr. Slaa: Sijatoa tamko lolote, Sitokuwepo Jangwani Kwenye uzinduzi wa Kampeni za CCM

    Asante sana Dr. kwa taarifa nzuri,naamini utatoka ukiwa na maamuzi yatakayoituliza kiu ya watanzania walio wengi.Siku zote ndivyo ulivyo,huwa hupendi kukurupuka,na hicho ndicho kilichokujengea heshima kubwa sana Tanzania na Duniani kwa ujumla.Tunakuhitaji sana kwa ukombozi wa pili wa...
  12. A

    Hii siyo dalili nzuri kwa Magufuli kufundishwa kucheza ngoma

    Wewe una malyenge huwezi kuona.
  13. A

    Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    acha kelele,subiri dawa iingie vizuri,mbona mnahangaika sana jamani muacheni mzee wa watu awe huru mbona mnahangaika kumtafutia sababu za kumuwekea pingamizi Lowasa,jamani muacheni mzee wa watu,kwani kuhama chama ni kosa?kuomba kuchaguliwa ni kosa?kelele za chura hizo.
Back
Top Bottom