Kura zingekuwa zinapigwa kwenye mitandao ya kijamii Peter Obi angekuwa Rais wa Nigeria badala ya Tinubu.
Chama ni wanachama, uchaguzi ni namba, wasio na vyama wanaposusa kupiga kura ni wazi chama chenye wanachama wengi kitashinda kwa kishindo.
Strategy ya kutokupiga kura kwenye uchaguzi ambao...
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.
Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.
Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Mtu akae gerezani zaidi ya siku 80 asiwekewe sumu, halafu mtu anasema anataka kuwekewa sumu na unaamini. Kweli ukipenda chongo huita kengeza
Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Historia ni mwalimu asiekosea.
Kenya wamefanya uchaguzi majuzi tu, kikashinda chama cha upinzani. Aidha, tangu wadanganywe na kuamini tatizo ni KANU, waitoa KANU madarakani na kuwaweka wapinzani kupitia MWAI KIBAKI.
Tangu hapo wameendelea kubadilisha vyama kila uchaguzi na bado wanaona...
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao. Kama katiba inasema kila mtu anauhuru wa kushiriki uchaguzi why kuna waozunguka kushawishi watu wasishiriki uchaguzi!
"Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"
Kabla ya wakoloni tulikuwa na utawala wa kichifu, hakukuwa...
Watanzania hatujulikani tunatakaje. Matokeo ya Sensa yalipotoka, tulisema yamepikwa kwani watu wengi hawajahesabiwa, sasa hivi tunalalamika tena kuna maeneo walioandikishwa ni wengi kuliko idadi ya wenye sifa.
Simple mathematics pia zimetushinda, tukiona waliojiandikisha ni 112.1% maana yake ni...
Mzazi yuko sahihi, mwenyekiti wao alisema peupe, walivyoona kimenuka yeye alienda ishi Dubai, mwingine akaenda Canada na mwingine akaenda Belgium.
Sasa wewe unga unga na kapuku kama Mimi misingi ya nchi ikiharibika utaenda wapi?
Rais wa awamu fulani alishawahi kusema, akili za kuambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.