Recent content by aduda

  1. aduda

    JamiiForums Tanzania Dunia nzima yaanza maandamano kuelekea Gaza kuzuia kuangamizwa kwa wapalestina.Yaanzia Tunisia kupitia Misri

    kwanini Iran anakubali kuona gaza inanyakuliwa, kwanini Egypt yuko kimya, kwanini Tanzania haikemei?
  2. aduda

    JamiiForums Tanzania Huawei yatangaza rasmi kutumia OS yao HarmonyOS ifikapo 2021

    Kampuni ya HUAWEI imetangaza rasmi kuanza kutumia OS yao ya HarmonyOS 2.0 kwenye simu zao ifikapo 2021, hapo awali mfumo huo wa kuendesha simu ulitambulishwa kwenye vifaa vengine kama Saa, Tv na gadget nyengine mbali mbali isipokuwa simu. Uamuzi huo umekuja baada ya mzozo wa muda mrefu wa...
  3. aduda

    JamiiForums Tanzania Wale wenye positive attitude na Forex mje huku

    yan we umeshindwa kutrade unataka utajirike kupitia commission, type ya watu kama nyie ndo mnao danga kwenye forex
  4. aduda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Google na Facebook kuachana na Huawei, Microsoft na ARM zafuata,

    America come with idea WHILE China come with best product 1. Marekani kagundua gari la umeme mwaka 2018 kauza magari laki4.5 wakati mchina kauza magari ya umeme more than 1Milion mpaka Telsa kaona akafungue kiwanda china 2. Drone: marekani kagundua drone mchina anaongoza kuuza na kuwa na drone...
  5. aduda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Google na Facebook kuachana na Huawei, Microsoft na ARM zafuata,

    mkuu wewe unaelewa haraka kama umetiwa ndizi ya m.kund.uu
  6. aduda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Google na Facebook kuachana na Huawei, Microsoft na ARM zafuata,

    Ulaya yenyewe kama ingekuwa huru biashara zote ingefanya na mchina kwenye swala la quality kucompare na price Sasa sisi africa ndo hatuwezi kabisa ukipanda bus zuri ni mchina, ukivaa nguo mpya kariakoo ni mchina ( wale ndugu zangu wa gucci, LV,suppreme) ukisema upande mwendokasi mchina, ukisema...
  7. aduda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Google na Facebook kuachana na Huawei, Microsoft na ARM zafuata,

    sasa hivyo ni viti viwili tofauti kama unauelewa mdogo tuu utagundua kuwa facebook anajitoa kwenye lawama kiaina flani ili mbaya aonekane ni google So Atakaekwamisha uwepo wa facebook kwenye huawei sio facebook mwenyewe bali ni google Dunia ya leo ukipuuza technology ya Mchina huwezi kuwa na...
  8. aduda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Google na Facebook kuachana na Huawei, Microsoft na ARM zafuata,

    source inasema hivi, mletamada anaongea kingine hii africaJinga
  9. aduda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Google na Facebook kuachana na Huawei, Microsoft na ARM zafuata,

    usipaniki labda nikusaidie tuu, Facebook hawaja acha kufanya kaz na Huawei ila wamesema kwa simu zote ambazo zinazoundwa hazitakuwa na "built in App" za Facebook, WhatsApp, Insta, na fbMessenger. Hivyo bas mtumiaji wa Huawei atapaswa kwenda kudownload Playstore "Built in apps" ni zile apps...
  10. aduda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Google na Facebook kuachana na Huawei, Microsoft na ARM zafuata,

    issue sio cheap labour tuu bali ni cheap labour wenye akili, india ana cheap labour wengi ila tatizo linakuja kwenye shule hususani kwa wasichana ila anyway ngoja nisubiri iPhone inayotengenezwa Burundi, MacBook inayotengenezwa Mafinga na apple Tv kutoka Manzese
  11. aduda

    JamiiForums Tanzania Baada ya Google na Facebook kuachana na Huawei, Microsoft na ARM zafuata,

    punguza uongo Lete source inayosema Facebook na Microsoft zimeacha kufanya kazi na huawei usomage habari na uelewe
  12. aduda

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu credit card na ina tofauti gani debit card?

    ivi hii "M-PESA MasterCard" ni debt au credit card mana kuna sehem wananambia hawaitaki Sent using Jamii Forums mobile app
  13. aduda

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa ujenzi wa Bwawa kuzalisha umeme a 'Stieglers Gorge' kusainiwa kesho tarehe 12/12/2018

    Dakika ni ya 25 goli ni (7-0) Ufipa FC hawaamini kinachowatokea kwa takwimu mpaka sasa possession ni 95% kwa upande wa lumumba na 5% kwa upande wa Ufipa Kadi nyekundu [emoji837][emoji837] ni mbili zikienda kwa Mbowe na Matiko Huku kiungo wao machachari kabisa (Lisu) akiwa majeruhi hoi bin...
  14. aduda

    JamiiForums Tanzania Tangu kuwasili kwa s300 syria,hakuna ndege yeyote ya israel,iliyoruka katikaa anga ya syria.

    s300 ni technology ya mwaka 1979 sasa sipatii picha izi za miaka ya 2000s
Back
Top Bottom