Recent content by Adriel Vin

  1. Adriel Vin

    Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

    Nakazia hapo…. Sinza ina balaa nyie
  2. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Ulikuwa legend kweli mzee
  3. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    SEHEMU YA 13 Tulipoishia…. Nilitambulishwa na shemeji yangu na mimi nikaishia kusema karibuni ndani. Tulielekea room kwangu tukiwa jumla wanne, Mimi, Annabellah, rafiki yangu na mwanamke wake yaani shemeji. Kama unavyojua room za wanafunzi hakunaga makochi (wengi wao). Tulikaa kwenye kapeti...
  4. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Habarini ndugu zangu wanaJF, samahani sana kwa kutoendelea na story yetu kwa wakati kama ilivyokusudiwa. Nilipata safari ya dharula kidogo. Nimerejea mjini salama na kama mmenisamehe na mko tayari tafadhali nijuzeni tuendelee… Leo nna muda wa kutosha hata kushusha epsode 3+
  5. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    SEHEMU YA 12 Tulipoishia… Hii hali iliathiri sana masomo yangu kwani nilikua siendi class na sichangamani na watu. Nikajikuta naenda kwa wacheza kamali, nashinda huko siku nzima. Tunaendelea, Kwa tukio alilonipiga Nelly nilijikuta nimekua mtu wa unsocial kabisaa hadi hapo rafiki yangu mmoja...
  6. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    SEHEMU YA 11 Tulipoishia… Sasa kama nilivyosema niliingia kwenye mahusiano na binti mwingine ambaye ni Nelly. Nelly alikua binti wa mambo mengi, mwenye kupenda fame, kuendeza pamoja na show off. Nilivyofika 3rd year niliigiza movie flani chuo na ndio nilikua main character then nikamvuta Nelly...
  7. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Nimekuelewa vyema na ntafunguk kila kitu
  8. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    SEHEMU YA 11 Tulipoishia Majibu ya mama mchungaji yalitoka na alikua amechaguliwa kujiunga na chuo cha Mara kule. Hivyo alitakiwa akasome diploma yake huko. Kwa upande wangu nilikua nishakua na ujanja ujanja wa chuo, nishajua kuvaa kama mwanachuo na nilishanunua smartphone HUAWEI Y300 kama...
  9. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Yako inayosisimua iko wapi
  10. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    SEHEMU YA KUMI (10) Tulipoishia… Nilikamilisha taratibu za malipo yote chuoni, hostel na kila kitu kilikua poa na nilikua tayari sasa kuanza maisha mapya ya chuo. Mzee alinipa pesa kidogo pia. Tuendelee sasa Maisha ya chuo yaliendelea na ndani ya wiki mbili majibu ya waliopata mkopo yalitoka...
  11. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Kabla ya saa 12 jioni ntakua nimeshusha epsode nyingine ndefu
  12. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    SEHEMU YA TISA (9) Part 2 (in details) Habari ndugu zangu wanaJF Nimesoma maoni ya wengi na ntaendelea na story bila kuacha detail zote muhimu Sasa nitaendelea na sehemu ya yule binti wa kanisani sambamba na yule bwana mdogo ambaye Baba yake alitokea kunikubali sana. Tuendelee sasa…. Wakati...
  13. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Nitaendelea na simulizi na ntaelezea every detail ili twende sawa
  14. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    SeHEMU YA TISA (9) Tulipoishia… Tabia ya kwenda porini ikakua na tukaanza kucheza kamali kule. Tulikua tukicheza kamali ya karata na dau nakumbuka lilikua 100 au siku nyingine 200. Ilikua pesa nyingi kwa maisha ya shule kwani ukipigwa kama elfu 3 hivi basi wiki nzima utakunywa uji mkavu…...
  15. Adriel Vin

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Mkuu tuko sehemu ya nane fuatilia zote ziko hapa hapa
Back
Top Bottom