Recent content by AdrianGeofrey

  1. AdrianGeofrey

    Sebastiani Ndege ni Jembe

    Ndy ni Mkenya
  2. AdrianGeofrey

    Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

    May be sababu ni single mother maana watu hawawapendi single mother humu sijui hata waliwakosea nn!!!! :(:(
  3. AdrianGeofrey

    Maajabu ya mimba ya huyu mwanamke

    Waheshimiwe wanawake wotee, Mimi nilikuwa napenda biscuit mama wee sehemu nilokuwa nafanya kazi asubuhi nikifika nakuta biscuit hizoo, now ana miezi Tisa nikifika utasikia biscuit zako hizoo looh!!!
  4. AdrianGeofrey

    Kitovu kumuangukia mtoto wa kiume ni kweli anakuwa hana nguvu za kiume?

    Nakumbuka tulikuwa tuna weka zamu kuamka kuangalia kitovu, mama alipoondoka alisema unalala sana akafunga na kamba ili kitovu kikidondika kiende upande, ni ngumu ila ndo mila tulizozikuta
  5. AdrianGeofrey

    Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    Me n mwanamke jina kuna mtu aliniandikisha hapa sa jina langu likawa linakataa, back to the topic '' Nakuonea huruma ila hamna namna kuna mtu nampenda niache niende ........!!! Nilihisi sina miguu sababu nilishindwa kutembea
  6. AdrianGeofrey

    Nawezaje kumuomba baba wa mtoto anisaidie?

    Jikaze tu Dada, me nimelea peke angu hadi kujifungua hajawahi hata kuleta hela ya sabun, now mtoto ana miezi Saba
  7. AdrianGeofrey

    Nakumbuka: Part II

    Ingawa me n mgeni,ila nlikuwa naingia ilaa ile nyingine nilitoa machozi!!
  8. AdrianGeofrey

    Muigizaji wa bongo muvi Tausi Mdegela

    Mmh kumbe ana mtoto Mkubwa hvyo!!
Back
Top Bottom