Raisi wetu aachane na kauli ambazo zinaweza kuleta janga kitaifa kwakuwa polisi haohao wameshawahi Baathist kushiriki kwenye vitendo vya kijambazi na ukiukwaji wa Haki za binadamu na mfano ni kesho ya Abdallah Zombe,
Sipendi kuona anafananishwa na Raisi wa Uphilipino ‘DURTATE’
Kiwango cha Baathist ya watanzania humu cha ku dadavua hoja na kuitolea majibu kinaendekea kupungua, hawafikiri kwa akili Bali kwa mdomo, kupuuzia hoja yangu ni sawa na kuwaona wachina bilioni moja na nusu walioidjinisha Rais wao atawale ‘indefinetly’ ni wapumbavu, huku tathmini za kiuchumi...
Taarifa ndefu isiyo na lolote la maana, ule ulikua ufunguxi wa barabara siasa za demokrasia zinahusiana nn na ujenzi wa barabara,? Upinzani wa nchi hii ni pasua kichwa, wanajali sifa kuliko maendeleo ya nchi. Kila platform wanataka kuzalisha siasa badala ya kutoa maendeleo
Si nia yangu kuwa mwana siasa au kufanya siasa kwa sababu mimi sio mwana siasa na sifungamani na upande wowote, nachoangalia ni maslahi mapana ya nchi na historia inavyojionyesha ulimwenguni,
Historia imeonyesha viongozi bora nje ya wale wa majukwa ni adimu, kwa Tanzania imejidhihirisha kwa...
Hao wazungu ni mafisi, wanapoona wa Africa tuna piga hatua za kimaendeleo hawapendi, mbwa sana hawa, Magufuli afunge balozi zao, we shall align with the East,
Tena ikiwezekana funga hata balozi zao hatuhitaji ushirika wao, kwanza Rais Magufuli hata uchaguzi 2020 hauna hiyo hela ipeleke ikajenge mahospitali, endelea tu hadi 2025 huna mpinzani
Hao wazungu ni mambwa, hii nchi yetu wakafie mbele huko nani anaewahitaji pumbavu wakubwa!!! Waache kutuingilia shenzi kabisa, Sisi ni nchi huru inayojitawala, kagame, museveni, kabila na huyo kichaa Trump mbona wanakandamiza Haki za binadamu hawajasemaa!!
Aliwekewa vikwazo Nyerere na nchi ilienda, hatuwezi kufuata Amri za mabeberu Kisa vikwazo, we must have our own denstiny this is our land hata kwao hatuwaingilii iweje watuingilie, wanataka kutuvuruga kwakua wanaona tuna Songa mbele bila ya misaada yao ya masharti
What’s happening with you Dawasco? Nilikua nalipia bili kwa mpesa lakini safari hii nimejaribu kulipia kwa kutumia utaratibu wa control number lakini Dawasco Hawapo kwenye malipo ya mpesa, nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa mteja lakini nao wameshindwa kunisaidia na nimegundua pia hawajui...
Haiwezekani ukawa ni wewe peke yako, production line ya juice yote hiyo ingekuwa mbovu na si packet yako tuu, acha upuuzi wakutumiwa na makampuni ya nje kuharibu biashara za watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.