Kutoza wananchi tozo la laini za simu na kuongeza tozo la kutuma na kupokea fedha kupitia mitandao ya simu hayo ndio Maendeleo kwa Wananchi hii ni kutuumiza tu sisi wananchi, ninyi ni watu musio na hurumu mmejificha katika kinyago (maski) cha "kuwaletea maendeleo wananchi" ndio maana leo kila...
wewe juma Iddi kumbuka ulipokuwa pale Mpwapwa Sec na kina Andrew Ng'hwani Rafiki yako ndugu yetu mbona unajisahau jamii ndio kioo chako usichukie inapokuonyesha tongotongo huna budi kuziondoa usikasilike mwangalie mwana mpwapwa mwenzako Ngeleja mbona amekubali matokea na katulia kimya
karibuni ndugu zetu hapa nyumbani kwetu TBR Tunawasubiri kwa hamu jamani Blanketi la Kijani limetuchosha tumalala usingizi sana sisi wa Mwanza Road,kaloleni,Station,kitete,uhadhili,isevya karibuni CDM
Angekuwa hana Elimu wewe usinge soma yeye anaona mbali kuliko hata wewe , unaifikili kuaoma ni darasani tu, kwa hiyo acha ujinga kabisa. na uache ramaa utakufa ukimtosa jamaa lazima akumalize acha kabisa huyo ni wakoc
Namuomba akawaulize watu hawa Ndg Masumbuko Lamwai na Ngawaiya na wangine wengi ,leo hii wewe ni kama muwa midomoni mwa CCM utakapo isha utamu utatemwa na kuwa makapi nakutupwa jalalani kazi kwako Binti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.