Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
maimartha jifunze kuridhika....yaani kukubali kuwa kuna baadhi ya vitu huwezi kuvipata wala kwa wakati uliopo
Huoni kama she is struggling, na kuleta humu maana yake amejaribu vingi.?
Unamshaurije kleptomaniac? Ambaye mimi namwita ana pepo la udokozi.
Last edited by a moderator: