Habari ya humu wanandungu natamani kuifata furaha yangu ilipo ki ukweli napenda sana michezo ya magari I mean rally na drifting pia sasaa naomba kupata hiyo company humu jf.
Haa yan Mimi sjui niseme nini ila mm hua sitamani mahusiano kwa sababu moja tu mimi ni mdhaifu sana na kiuhalisia ninaishi maisha ya amani nikiwa single ila nikiwa na mahusiano ndugu sina amani
Tandem ni baiskel ya kuendesha na watu wawili pia ina maana ya gurudumu mbili zinazofatana zimekaa kwa mstari hivyo wametohoa happy kwasababu fuso hizo hua na Excel mbili nyuma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.