Recent content by ADONAI.D.

  1. A

    Mke wa mtu huyu ananitega au mawazo yangu tu?

    yaani wewe rafiki unanifanya nikushangae kabisa, sasa unataka sisi watu wazima na akiri zetu tukuruhusu kufanya upuuzi huo wa kuchepuka, acha ujinga tulia na wako,heshimu mke ulie nae, heshimu ndoa yako je kama mkeo akielewa kuwa kila siku unampa lift akati hata siku hujawahi kumbeba mkeo ni...
  2. A

    Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

    habari rafiki yangu, kwa uzoefu wangu katika ndoa yangu sijawahi kuwa na mchepuko wowote maana nimetosheka na mahaba ninayopewa na mke wangu, je ungekuwa wewe ndio mke ungevumilia upuuzi kama huo unao ueleza hapa?????? sh.500,000/= ni kubwa kama ukiweka matumizi yako vizuri kwani makosa...
  3. A

    Nimetembea na mama na binti yake

    habari ndugu, daima husipende kusema vitu vya ajabu huoni hata aibu halafu unataka ushauriwe kwani wewe hujioni, kiukweli iwe unatudanganya au unasema kweli utajijua mwenyewe, maana azinie na mwanamke hana akiri ni vema ukawa mwaminifu ukaoa sio unatuletea upuuzi kama huu katikati ya wakubwa...
  4. A

    Ushuhuda: Aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

    jamani watu wengine hawana hata huruma, inakuwaje kumzalisha binti mwishowe unamtelekeza bila hofu kabisa harafu unatuletea tujifunze kipi, angalia sana uwe mwangalifu sana kwa huyo mke uliye nae husimuache, kisha hakikisha unamtafuta mwanao uliye mtelekeza kwa tamaa zako mwenyewe, mwanao hujui...
  5. A

    Nahisi rafiki yangu anataka nimsaidie kumtia mimba mke wake

    unajua mtu mzima kama wewe unapotoa mada hapa jamvini kama hiyo wakati jibu unalo mwenyewe ni sio tabia njema inamaana unaangalia akiri zetu zipoje. sasa endelea na msimamo wako huohuo wa hapana hata kama atakushawishi mwambie watoto ni zawadi ambayo inatolewa na mungu tuu. na ukithubutu mungu...
Back
Top Bottom