Recent content by Adobe PS

  1. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Nahisi kusoma kwangu ni bure, bora ningebaki tu nyumbani

    Nyamwi Kingdom acha uongo mm nina hii moja, tena naizika Leo leo 18 Jan 25
  2. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Nahisi kusoma kwangu ni bure, bora ningebaki tu nyumbani

    Sijambo akaunt yangu hii najioshea nayo 😁
  3. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali mko eneo hatari sana

    Nauli ndio shida😂
  4. Adobe PS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

    Rayns hii story utasema ukweli leo 😂
  5. Adobe PS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

    😂Sasa mimi mkasa wenyewe nautoa wapi
  6. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

    Waandamanaji wameshtuka, wabongo bhana
  7. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania SALAMU ZA SHUKURANI

    Usiwe mnafiki, kuwa huru where we dare to talk openly
  8. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

    Na usiende, usiende usiende Tafadhali Rayns
  9. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania SALAMU ZA SHUKURANI

    Congratulations to become the Best JamiiForums member of JULY
  10. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

    Ndizi mpwiko?
  11. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

    Hapana kwakweli, hao ni wale vijana wazembe shuleni. Kuna Hacker buddy Alafu ni kidogo tu 20s
  12. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

    Napenda sana IT, lakini vijana wanaichafua. Alafu wao ukikuta wanapiga story hadi wanatambiana uwezo wa hacking, sasa sijui hawaelewi kama ni kosa linalopelekea kifungo cha maisha
  13. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Familia yataka haki kijana aliyedai kuvunjwa mguu na polisi

    Nilimchongea mzee mmoja alikuwa akiuza bangi, sasa kaka yangu alikuwa mteja wake alimharibu kaka yangu. Nikaita police wamkamate lakini wao waliuza bangi wakagawana fedha ya mauzo. Polisi wengine sio watiifu wa kazi
  14. Adobe PS

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

    Ungekuwa wewe ndio mpishi watu wakasema hawawezi kula chakula chako, unajua uchungu wa kuambiwa hivyo?
Back
Top Bottom