Recent content by adinag

  1. A

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamini Tanzania hakuna demokrasia , TANESCO leo umeme upo siku nzima

    Huku wamekata.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Chama cha wanasheria

    Habari za muda huu. Naomba mnielekeze zilipo ofisi za chama cha wanasheria makao makuu dar es salaam. Natanguliza shukrani
  3. A

    JamiiForums Tanzania Struck out the suit for want of jurisdiction

    nambo unijuze: nikipata hiyo " leave to amend an application", je ushahidi wangu ambao nilikuwa nimeshakamilisha kuutoa, je naweza kuomba ukaendelea ule ule? Asante
  4. A

    JamiiForums Tanzania Struck out the suit for want of jurisdiction

    ASANTE. 1. Kuhusu hiyo Order, tayari mahakama imeshanipa. 2.Tatizo ambalo linanisumbua bado ni juu ya either kutuma kwanza barua kwa waziri wa sheria au la. Nasema hivyo kwa sababu siku hii ya leo nimekwenda kutafuta ushauri kwa wanasheria wawili. Wa kwanza; ameniambia kwa sababu nilibomolewa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Struck out the suit for want of jurisdiction

    asante sana
  6. A

    JamiiForums Tanzania Struck out the suit for want of jurisdiction

    Asante. Kesi yangu ni kuwa, nilibomolewa kiwanda changu na vitu vyangu vyote vilikuwa ndani wakati wa ubomozi huo. Waliobomoa wanadai nimejenga eneo ambalo sio langu. Nimekamilisha kutoa ushahidi wangu wote pamoja na mashahidi wangu ( ikiwamo walioniuzia hapo). Judge aliwaamuru upande wa pili...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Struck out the suit for want of jurisdiction

    Habari za muda huu. Naomba msaada juu ya shauri hili langu. ORDER YA MAHAKAMA. Ndugu naomba mnisaidie. Kesi hii nilifungua mwaka 2005 na order hii ya mahakama imetolewa mwaka huu 2015. Je kesi hii naweza kuirudisha mahakamani ikaendelea? Na kwa namna gani nitairudisha kulingana na law of...
  8. A

    JamiiForums Tanzania TBC wamezima tusione Bunge

    Au bunge litaendelea kesho? Tupate taarifa kamili ndio tujadili kama kweli tbc wamegoma kuonyesha bunge au la?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Messi na Balloon d'or ya 5

    Ki ukweli CR 7 mwaka huu akubali kushindwa. Mesi kafanya makubwa mno mwaka huu ila vipi kwa invisible Pirlo. Wanaodhani Pirlo mwaka huu apewe hii tuzo tuungane
  10. A

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania vs ACT-Wazalendo

    Wadau, tofauti ya ACT WAZALENDO na ACT TANZANIA ni ipi? Je kama tofauti ipo, kipi kipo kwa msajili wa vyama vya siasa. Wajuzi wa mambo tuelimisheni.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

    ndio muda mzuri wa viongozi wa simba kudai pesa za okwi kwa hao warabu kama ni kweli hawajalipwa.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Industrial Practical training

    menyewe au mwenyewe? Si bure kama wewe sio kota basi ni scrotum. Jifunze kuchangia kwa manufaa ya wenzako.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Industrial Practical training

    ndugu unaweza kunisaidia anwani zao au kunielekeza mahali zilipo ofisi?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Industrial Practical training

    asante
  15. A

    JamiiForums Tanzania Industrial Practical training

    ndugu unaweza kunisaidia anwani zao au kunielekeza mahali zilipo ofisi?
Back
Top Bottom