ACT-Tanzania vs ACT-Wazalendo

ACT-Tanzania vs ACT-Wazalendo

Una IQ ya konokono.Peleka midenda yako Fb
Wanajamvi nisaidieni, hivi ACT-Tanzania na ACT-Wazalendo ni chama kimoja? Naona kama kuna chama kimejisajili kinyemela hivi!

Au bado linatafuta jina muafaka? Kwa msajili kuna chama gani?
 
Zito mpaka sasa bado anatafuta jina lingine lililo wekwa la uzalendo bado halija tosha
 
Laki si pesa umesahau kutetea ccm umehamia act au ndiyo mnatetea lichama b lenu
 
Ndugu wana jf,
nilikuwa naomba kueleweshwa kama kuna tofauti kati ya act na act -wazalendo
i stand to be guided!!!
 
Nami naomba kueleweshwa kama kuna tofauti kati ya (CUF) na (CUF-CHAMA CHA WANANCHI).

Tatizo ACT inawawewesesha hadi mnajitoa ufahamu matokeo yake mnaleta upuuzi jf.
 
Nami naomba kueleweshwa kama kuna tofauti kati ya (CUF) na (CUF-CHAMA CHA WANANCHI).

Tatizo ACT inawawewesesha hadi mnajitoa ufahamu matokeo yake mnaleta upuuzi jf.

He humbly requested to be guided...sasa matusi ya nini?
 
Wadau,
tofauti ya ACT WAZALENDO na ACT TANZANIA ni ipi?
Je kama tofauti ipo, kipi kipo kwa msajili wa vyama vya siasa.
Wajuzi wa mambo tuelimisheni.
 
Back
Top Bottom