Recent content by Adepety

  1. A

    JamiiForums Tanzania WanajamiiForums, naomba kuelekezwa kwa upande wa EFD machine

    Wana Jfm naomba kuelekezwa kwa upande wa EFD machine,Nafanya mauzo kwa wateja ambao hawana TIN namba na VRN.Naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka jina la mteja ili nikimkatia mteja risti jina lionekane kwenye risti niliyomkatia na kiasi chake.Nitashukuru
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

  3. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    Asante sana mkuu umemjibu vzr hadi nafurahi sana.Shukurani.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Afisa masoko/mauzo wenye elimu kiwango cha Certificate wanahitajika Shinyanga Mjini

    Ni inbox maana kuna mtu kapiga no yenu haipatikani
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    mkuu ikiwa unajua huna uwezo wa kumsaidia mtu hata kimawazo ni bora ukae kimya kuliko kujibu hivyo.Walojaliwa na Mwenyezi Mungu karama za kuwasaidia watu watasoma na watamsaidia tu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    mbali nakuwa nayo iyo bado unaonekana umejaa roho ya wivu kwa wenzio hupendi wenzio wafanikiwe au uwasaidie kwa namna moja au nyingine.Mkuu kaa chini na upige goti mbele za Mungu wako atakusamehe tu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    Hayo ndo mawazo yako na siwezi kukulaumu kwa kuwa ndivyo ulivyo na roho yako iyo.Mungu na akusamehe hukujua ulilokuwa unalisema mkuu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    Najua wewe sio mwajili/ mwajiriwa na huenda ukawa muhanga wa ajira ndo maana unaongea vibaya.GPA haikuhusu mkuu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    Hata hivyo hapo ushaelewa tu mkuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    Barikiwa sana mkuu, najua kuna watu wenye moyo wa kumsaidia mtu hata kiushauri km huu.asante sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    Asante nashukuru mkuu ila najua humu duniani kuna watu wenye roho zenye kutu ndani nahao huwavunja moyo wengine.Pia wapo wenye roho safi wenye moyo wa kumsaidia mtu,hivyo najua atapata tu hayo maneno yako tu mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    Mkuu kama kuna mtu unaemjua yuko huko Kongo naomba uniunganishe nitashukuru
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    Huo ni mtazamo wako mkuu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

  15. A

    JamiiForums Tanzania Mining jobs

    Haina shida ila anauzoefu pia kazini
Back
Top Bottom