Recent content by Aden Tuntufye

  1. A

    Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

    UPDATES: TAARIFA YA MOTO SOKO LA SIDO MBEYA: MOTO UNAWAKA SANA HASA MAENEO YA SHARIF MAKOBA KUELEKEA MADUKA YA USAGATIKWA... MUDA HUU POLISI WANAONGEZEKA KWA WINGI SANA KUONGEZA NGUVU NA SASA MABOMBU YANARINDIMA SANA KUTAWANYA WATU WOTE WASISOGELEE ENEO LA SOKO... HAKUNA ANAYERUHUSIWA KUINGIA...
  2. A

    Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    Binafsi nimewahi kufanya biashara maeneo nje ya hospitali fulani ya mkoa. Laini ya maduka yetu pale mkoani kulikuwepo/lipo pia duka la dawa dawa hadi sasa. Kinachofanyika ktk maduka ya dawa yaliyopo nje ya hospitali za umma ni dhambi tupu. Kwa kiasi kikubwa sana wamiliki wa maduka wanakuwa na...
  3. A

    Hivi, kiwango cha mwisho cha kuhesabu namba ni ngapi?

    lakini pia tunatakiwa kujiuliza "namba zinaanzia ngapi, au namba ndogo ya mwisho ni ngapi???"
  4. A

    Hivi, kiwango cha mwisho cha kuhesabu namba ni ngapi?

    Namba zpo ktk mfumo endelevu( infinity) na ndio sifa moja wapo ya namba
  5. A

    Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

    Tuishi kwa wema siku zote maana hakuna anayejua siku wala saa
  6. A

    Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

    Alilazwa coz alikuwa anaumwa, mwisho wa siku ndo hivo tena kafariki dunia. R.I.P
  7. A

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Willbroad Peter Slaa
  8. A

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    mi nlijua cm yangu ndo ina tatizo la net, kumbe wenyewe ndo wazinguzi kinoma, mi nlisha acha kuweka fedha kwenye m-pesa coz siwaamn hata kdogo
  9. A

    Serikali yaridhia umeme kupanda Kuanzia January 2014!

    Tatizo watanzania waoga sana, tunaendeshwa kama maroboti tu. Poa acha wale maana nyie c ndo mmekubali kuwapa, mie na mshumaa tu umeme hata siujui
Back
Top Bottom