Recent content by Addons

  1. A

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Weng tu 😅😅
  2. A

    JamiiForums Tanzania Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

    Bado tupo primitive stage of economy!! Bei haipangwi kwa maneno, D & S ndo inaamua
  3. A

    JamiiForums Tanzania Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

    Niliachaga kuangalia mpira!! ila nikasema ngoja nimuone huyo Lamine wanae msema huenda kuna cha ziada!!.. Kiukweli sikuona maajabu yoyote, zaid ya kuona mtu anajitutumua tuu... Uchezajj wake Ni basics + mazoez Skills ni kidog sana, halafu zile basics tuu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

    😅😅 Kwani Jukwaa la siasa si lipo!! Nenda tu ukajadili namna ya kumaliza viTa iran
  5. A

    JamiiForums Tanzania ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

    😅😅😅😅😅😅😅
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

    Una uhakika hataki kazi, Je? Umewahi kwenda kumpa deal la kazi akakataa? Mzee mtaan sometime hapaeleweki, Mtu hakupi kazi hata ukienda kumuomba, na ukibaki kitaa bado una simangwa!! Mzee nenda kampe kazi, akatae halafu uje utupe mrejesho, sio kukomplain wakati hujui mtu anapitia stress...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kifaransa: Ubora "THE HIGHEST GOOD"

    Saw ngoja nii angalie
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

    Body count sasahiv iko juu kila sehem
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

    Daaah! Kumbe unapataga mali safi humu na husemi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

    Yaani, unakuta anasema kabisa ye hapend ela, na hawez omba mwanaume ela! Lakn within a day, ushachapika za uso
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

    Ushauri mzur, sana
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

    Ntakupa ndug yangu!! Ngoja nitafute kwa tochi hap
Back
Top Bottom